Mam
sio kweli! Mambo gani aliyofanya yesu na hayaandikwa? Mbona Yesu kaandkwa na wahubiri wanne (matayo, marco, luka na yohana) lakin wote wanaeleza yale yale tu.. apo si ndo kila mmoja angeandika ambayo mwenzie hajaandika.
kama wameandika hadi alivokwenda kwa zakayo sasa wameacha jambo gan la...
hahahahaahah mbona mnaojibu hili suala la 666 mnachagua mifano mitatu tu ya masaa mnayotoa ili kuleta jibu 6, mfano ukichukua 7-1=6, 8-2=6, 10-4=6, 11-5=6, 12-6=6, hapo si tutapata 666666 ambayo haina maana yoyote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.