Kwa anayetaka kuja KAHAMA MJI, IDARA NI SEKONDARI
na anatoka Mbeya jiji au Mwanza jiji tuwasiliane kwa phone number zifuatazo:-
0758484676
au
0714548048
Ni kweli, kufanya kitu kwa vile rafiki yako anafanya bila kufanya udadisi wa kina ni mbaya. Kubwa zaidi ni jwamba, jaribu kufuatilia kwa undani kwenye jambo ambalo unajua linaweza kukugharimu iwapo utafanya uchaguzi usio sahihi. It is good topic insuch to the people who are toward these pension...
Mkiwa na shida yoyote ya hesabu nyie semeni msihofu maana kuna watu huku tumebobea kwa hesabu. Kwa pamoja hesabu inawezekana na ni rahisi mno. Nasema hvyo kwa vile kwenye hesabu kama unajua itakuwa hvyohvyo tuu na si vinginevyoa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.