Recent content by ROBERT KISUNTE

  1. ROBERT KISUNTE

    JamiiForums Tanzania Je, unazijua mbinu wanazotumia wanasiasa kuteka hisia za Raia wakati wote...?? Utashangaa Leo..🤔

    Katika makala yangu nimeanisha njia 22 ambazo viongozi wengi huzitumia kurubuni na kuongoza hisia za Raia... Leo nitakutajia zote, jina langu ni Robert kisunte.... Huwenda njia hizi zimetumika sana katika nchi yako na kwa viongozi wakoo..... Leo nitakupa njia mbili ila kutokana na muda...
  2. ROBERT KISUNTE

    JamiiForums Tanzania Dr. James Zotto: Msomi Aliyekataa Kejeli za Vyeo na Kuchagua Dhamira ya Taifa, ungana na Robert kisunte🧠

    DK ASIYETAKA KUJIITA DK: JAMES ZOTTO — KUTOKA LIULI HADI MEZA ZA AMANI ZA UMOJA WA MATAIFA SEHEMU YA 1:👇👇 Kuna wasomi wanaobeba vyeo, na wapo wanaobeba dhamira. James Zotto ni wa kundi la pili. Mzaliwa wa Liuli, tarafa ya Ruhekei wilayani Nyasa mkoani Ruvuma, majin yake ya utani ni...
  3. ROBERT KISUNTE

    JamiiForums Tanzania Robert Alex Kisunte ni nani haswa?

    ✊✊thanks sanaaah, pamoja katika jukwaa la fikra..
  4. ROBERT KISUNTE

    JamiiForums Tanzania Robert Alex Kisunte ni nani haswa?

    Msomi na Mshauri wa Diplomatic & Military History Robert Alex Kisunte si msomi wa kawaida; kila somo lake ni safari ya kuelewa nguvu za dunia, mikakati ya kijeshi, na maamuzi ya kidiplomasia yanavyounda historia. Akitumia historia kama darasa, anafundisha jinsi vita na diplomasia vinaathiri...
Back
Top Bottom