Recent content by robbyr

  1. robbyr

    Ushauri wa kuboresha mfumo wa semina kwa walimu kwa kutumia teknolojia ya mtandao (online) na video

    Ninashauri Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kuachana na mfumo wa zamani wa kutoa semina kwa kukutana ana kwa ana (physical workshops), ambao unatumia gharama kubwa za usafiri, malazi, na muda, na badala yake kuhamia kwenye mfumo wa kisasa wa kidijitali. Mapungufu ya Mfumo wa Sasa: * Gharama...
  2. robbyr

    Je, mnataka kukwamisha tume ya uchunguzi ila propaganda zenu za chuki zishinde?

    Rais kwa utu ameunda tume ya uchuguzi juu ya vurugu za oktoba 29. Watu walipoteza maisha ila mpaka sasa ilianzia idadi ya 1000 ikaja 2000 - kwa sasa 10,000. Je, lengo la kupandisha data hizi ni nini? au kuendelea kukuza hasira na chuki ili mshinde kisiasa.? *Mlisema watu walipigwa riasi wakiwa...
  3. robbyr

    Wanaharakati acheni uwongo sasa.

    Tunajua mnapambania ugali wenu ila hii vita yenu na serikali ni ya hovyo. Kwa sasa mnasema waliouwawa ni 10,000 kutoka elfu moja ( 1000) mnadhani binadamu ni sisimizi. Idadi hii hata kwa kiziwi tayari ni siasa chafu. Pili, Tanzania ni wazi sana tunaomba watu waliopigwa risasi nyumbani kwao...
  4. robbyr

    Wanaharakati acheni uwongo sasa.

    Tunajua mnapambania ugali wenu ila hii vita yenu na serikali ni ya hovyo. Kwa sasa mnasema waliouwawa ni 10,000 kutoka elfu moja ( 1000) mnadhani binadamu ni sisimizi. Idadi hii hata kwa kiziwi tayari ni siasa chafu. Pili, Tanzania ni wazi sana tunaomba watu waliopigwa risasi nyumbani kwao...
  5. robbyr

    MAPENDEKEZO: MFUMO WA "VIWANDA VYA AJIRA" KWA WAHITIMU WA UHANDISI NA UFUNDI

    Tanzania inazalisha maelfu ya wahitimu wenye vipaji katika fani za uhandisi, ujenzi, na usanifu majenzi kila mwaka. Hata hivyo, kuna changamoto mbili kubwa: uhaba wa ajira kwa vijana hawa na utegemezi mkubwa wa makampuni ya nje katika kutekeleza miradi ya miundombinu. Pendekezo hili...
  6. robbyr

    Mateso ya Sekta binafsi ye NSSF wanatunyima mafao yetu

    Tuliofanya kazi sekta binafsi kwa mshahara kidogo na mateso makali na mwisho Mungu akajalia tukapata serikali leo tunajua pesa ya NSSF itakuwa msaada kwetu lakini sheria za hovyo alizopitisha Magufuli tunanyimwa. Naomba serikali ione huruma ili tunaopata kazi serikali tulipwe hiyo pesa ili...
  7. robbyr

    Tulionyimwa mafao NSSF, tufungue kesi mahakamani

    Maumivu si mpaka ukatwe na wembe bali ukatili wa NSSF kukataa pesa yako baada ya kuacha sekta binafsi na kujiunga na serikali. Sawa sheria walizoweks nizakinyonyaji kwa mazingira mengine. Basi kama inashindika wahamishie pesa za mwanachama kwenye mfuko mwingine aliyohamia. Sekta binafsi...
  8. robbyr

    NSSF acheni ukatili na toeni pesa za watu

    Serikali lazima ijue raia tunapambana kujikwamua kimaisha na unakuta mtu ameacha kazi taasisi binafsi na anahitaji mslai yake lakini NSSF wanasema mpaka ufikie umri wa kustaafu. Nauliza pesa za wafanyakazi mnapeleka wapi? Haijalishi mtu amepata kazi Serikalini au lah! Sioni umuhimu wa NSSF...
  9. robbyr

    Kodi inaangamiza vijana Wa Kilimanjaro, Arusha, na Manyara

    Kweli kaka. Sema watu hawataki kufikiria tena
Back
Top Bottom