Recent content by robby one fashion

  1. robby one fashion

    Ukitaka kuamka asubuhi uione pesa yako, mchana uione na usiku uione biashara itakushinda

    Na Bikira Ukiwa mkulima, sharti uifukie mbegu ardhini, ikae huko bila kuiona kwa muda fulani mpaka itakapochipuka, ikaota na kuzaa matunda. Ukiwa mfanyabiashara sharti ni hilohilo. Lazima uwekeze, yaani ukubali kuweka pesa yako mahala usiione kwa muda mpaka itakapoanza kuingiza pesa na kuzaa...
  2. robby one fashion

    75% ya biashara nyingi mpya zinakufa ndani ya miaka 3

    Na Bikira konk 1. Miaka mingi iliyopita nilialikwa kwenye "listening party" ya wimbo na video ya "My Favorite Artist Wangu Of All Times Lady Jay Dee. "Listening party au watch party" ni "closed event" ambayo watu wachache wanaalikwa kusikiliza wimbo au kuona video inayotarajia kutoka kabla...
  3. robby one fashion

    Tatizo lolote la PC/device

    Yaani haitoi mlio wowote maana nilikuwa napiga window Mara umekatika gafla na ukarudi sasa tatizo lilianzia hapo
  4. robby one fashion

    Tatizo lolote la PC/device

    Mimi na desktop yangu aina ya HP sasa nikiiwasha ile CPU feni zinafanya kazi lakini machine taa zake haziwaki na pia haipelek signal kwenye monitor kwa iyo tatizo nini hapo mkuu
Back
Top Bottom