Recent content by Robby Njera

  1. R

    JamiiForums Tanzania Tafakari: Taifa linaloendeshwa kwa ujana wa bandiko na umbea—tumwangalie mtoto wa 2050

    Katika enzi hii ya kidigitali, tunashuhudia namna baadhi ya mataifa yanavyoweza kuendeshwa kwa mbinu nyepesi lakini hatarishi kwa mustakabali wake. Kinachohitajika ni kuhakikisha raia wana bando—ndiyo, intaneti—hata kama ni ya gharama kubwa. Wananchi wakishakuwa hewani, basi hupewa ‘connection’...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Bachelor degree in economics of development

    Bachelor degree in economics of development
  3. R

    JamiiForums Tanzania Bachelor degree in economics of development

    Habari, Kwa wenye ufahamu juu ya kozi ya Bachelor Degree in Economics of Development . Naomben msaada kuhusiana na mambo ya fuatayo:- i) umuhimu wake kwa nyakati hizi ii) ubora na udhaifu wake iii) utajiliwa kama nan? iv) je kuna uwezekano wa kupata ajira? v) ukiilinganisha na HR ipi ni bora...
  4. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga atashikwa muda si mrefu!

  5. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga atashikwa muda si mrefu!

    you made my day
  6. R

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Dr. Adelardus Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali(AG). Masaju ateuliwa kuwa Jaji Mahakama Kuu

    kama akiwa AG alitamani serikal ishindwe kesi vpi huko mahakaman si ndo ataongeza speed Kuna tatizo mahali either kwa mteuaji au wateuliwa
Back
Top Bottom