Recent content by RMD

  1. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kufanya installation ya bitdefender ant-virus 2011 na ku crack

    Niaje wadau nilukuwa naomba msaada wa kufanya instullation ya bitdefender ant virus 2011 na ku cracks
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mke wa tajiri yangu ananitaka kimapenzi

    kaka kingereza hakipandi kiivyo apo inaniacha mbali
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mke wa tajiri yangu ananitaka kimapenzi

    Jamani wadau nisaidieni kwa hili mimi ni house boy nimetolewa kijijini kuja kulisha mifugo ya bosi wangu hapa dar lakini huyu shemeji yangu yaani mke wa bosi wangu ameshanionyesha dalili zote za kunitaka kimapenzi na ameniahidi kuwa ataniamisha na kunitafutia mahali pa kukaa kuliko kusubirli...
Back
Top Bottom