Recent content by Rlukaku

  1. R

    JamiiForums Tanzania Meya wa Ubungo kufungua kesi ya jinai dhidi ya Paul Makonda kutokana na madai ya kuwa na vyeti feki

    Kuna tofauti kubwa sana kati ya mtu ambaye alisoma akafeli na mwingine aliyetumia cheti cha mtu mwingine. Kutumia cheti cha mtu mwingine ni kosa na ukipatikana na hatia unaweza kufungwa hadi miaka saba. Swala hapa sio kutokuwa na cheti bali ni kutumia cheti cha mtu mwingine kujipatia fursa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Q & A ya Mhe. Rais & Mhe. Abdallah Possi

    Halafu amesahau kuwa kwa mujibu wa katiba, ukiachilia mbali sifa nyingine zilizotajwa kwenye katiba ambazo nina uhakika akinamama wengi wanazo, Mbunge anatakiwa awe anajua kusoma na kuandika tu!
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kinachovuruga Taifa ni Ubaguzi

    Pale inapotokea shughuli fulani ya kisiasa zinapigwa marufuku kwa vyama vyote halafu chama kimoja kinaendelea kufanya hilo lililokatazwa. Yanazuiwa Mahafali ya wanafunzi wanaoshabikia chama kile lakini yanaruhusiwa ya wale wa chama hiki. Huu ubaguzi ndio unaolimaliza Taifa hili. Inazuiwa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Bunju B

    Du ! Shule ya secondary ya Baobab unaijua ? Unaingilia pale pale njia panda ya Vikawe.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Bunju B

    Kiwanja bado hakina hati ila eneo limepimwa mkuu hivyo ondoa shaka kuhusu bomoa bomoa...!
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Bunju B

    Salama wakuu; Ninauza kiwanja/shamba. Ukubwa ni SQM 400 Eneo kilipo ni Bunju B, Bei ni 4M. Kiwanja kipo sehemu nzuri, maji yapo, umeme nao tayari umeshafika eneo husika. Kwa anayehitaji tuwasiliane kupitia 0769942927, tuma sms,WhatsApp au piga. Karibuni.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mgogoro Zanzibar na watuhumiwa wa makosa ya mtandaoni kuikosesha Tanzania Tril.1.2 za MCC

    Kuna nchi imewahi kuwa na 'bifu' na mataifa makubwa halafu ikafanikiwa? kiburi si maungwana, cha msingi Serikali ikubali kuwapa haki yao wnanchi wa Zanzibar ambao wameamua kuchagua upinzani. Kujifariji kwamba tutaweza bila wao ni ndoto tu. Bahati mbaya kwenye hili hatuna hata mmoja anayetuunga...
  8. R

    JamiiForums Tanzania UKAWA wabadili gia angani, Rais Magufuli kutohutubia bunge

    Safari hii mnalo, tena wameongezeka . Muwafukuze wote 124 ili dunia nzima ijue bunge la TZ ni la chama kimoja.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Milioni 5 hii hapa, nipe kiwanja Dodoma mjini

    Kipo Kisasa/Mapinduzi, piga 0713087251
  10. R

    JamiiForums Tanzania Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

    Ninayo Q23g nauza laki na nusu tu...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji binti wa kuniliwaza

    Tangu niachane na Girlfriend wangu nimekuwa katika wakati mgumu sana. Wakati mwingine napata hasira bila sababu za msingi. Hapa nyumbani naishi na mdogo wangu, sometimes nakuwa si 'mtreat' fair, kwa ajili ya frastration zangu. Huwa najilaumu sana kwa matendo ninayofanya. Hivyo leo nimeamua...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Al Jazeera: Meno ya tembo yalisafirishwa ndani ya ndege ya Rais wa China! nchini Tanzania

    We sio mzima. Unaumwa ugonjwa wa CCM.Kwa bahati mbaya ugonjwa huo hauna dawa.Subiri kufa tu
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wajumbe wa Bunge Maalum walioko nje ya Bunge waruhusiwa kupiga kura

    Another nonsense of yours...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Napinga kura za nje ya nchi

    Unaongea pumba aisee..! Yani mnataka watu wapigie kura katiba ya nchi wakiwa juu ya vifua vya watu? Au wengine wakiwa chooni wanakata gogo? Aisee jamani, this is too much....
  15. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta ps2

    Mimi nahitaji moja.bei gani?
Back
Top Bottom