Recent content by River Mbane

  1. R

    JamiiForums Tanzania University of arusha mzigo umetemwa!!!

    Yani nitawaona TCU wa maana wakitoa udsm,sua,ardhi na udom baaaasi
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kama umechaguliwa udom soma hapa itakusaidia.

    May God bless u abundantly...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Niliipenda sana hii ya babu wa Zimbabwe

    madokteri waliko kuthibisha hatalikokuwa mugumba lakini hatalikokupata mtoto.Babu sio wa leo,mjanja yuleee
  4. R

    JamiiForums Tanzania Niliipenda sana hii ya babu wa Zimbabwe

    hata bongo sema wanabaniwa tu kisheria
  5. R

    JamiiForums Tanzania Niliipenda sana hii ya babu wa Zimbabwe

    Reason(s) please
  6. R

    JamiiForums Tanzania Niliipenda sana hii ya babu wa Zimbabwe

    wa kwetu je?
  7. R

    JamiiForums Tanzania Niliipenda sana hii ya babu wa Zimbabwe

    But wakipimwa itathibitika tu mkuu
  8. R

    JamiiForums Tanzania Niliipenda sana hii ya babu wa Zimbabwe

    hapo ndo watawakamatwa vizuri coz mwanamke huwezi kusema kuwa hushiki mimba huku unado na mwanamke mwenzako,pia kwa mwanaume huwezi cngizia huzalishi wakati unado na mwanamme mwenzako.Kama aliye mwanamke hashiki mimba atapimwa kuthibitisha pia aliye mwanamme pia atapimwa ka ni kweli hazalishi.So...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Niliipenda sana hii ya babu wa Zimbabwe

    mimi ninavyohisi kwa babu zilikuwa ni mbwembwe tu kusema hivyo,but the main point ilieleweka kuwa anapinga hizo mambo nchini kwake.
  10. R

    JamiiForums Tanzania TCU na ufafanuzi wa ubora wa degree zinazotolewa na vyuo vyetu vikuu Tanzania

    Me choka subiri kitu muda inaenda hapana toa chaguo,hava tcu namna gani bana!
  11. R

    JamiiForums Tanzania Niliipenda sana hii ya babu wa Zimbabwe

    Baada ya kushinda uchaguzi wa urais,babu wa Zimbabwe anahutubia wapiga kura wake kuhusu swala la ndoa za jinsia moja.Babu anadai yeye hana tatizo na hao watu ila anachowataka tu baada ya kuoana mmoja wapo ambaye ni mke apate mimba biologically ambapo itathibitishwa na madaktari kuwa ni ya mme...
  12. R

    JamiiForums Tanzania st joseph watoa selection kwa matawi yake yote- tembelea website yao sasa

    Ka leo mizigo miwili imeshushwa hope kesho itashushwa hata ya vyuo vya wanaobishania vyuo.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaotambishiana kuhusu ubora wa vyuo

    Tunapoteza muda sana kujadili v2 ambavyo hata havitusaidii.Tunaharibu title la hili jukwaa
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaotambishiana kuhusu ubora wa vyuo

    Mimi naona haina tija yoyote kwa sisi wasomi wazima kuendelea kutambishiana katika maswala ya vyuo,ukizingatia serikali yetu yenyewe haiko vizuri katika swala la elimu sasa ninyi mnaotambishiana vyuo mnadhani vyuo vyenu viko salama? Kitendo tu cha mtu aliyesoma/anayesoma chuo kikuu kuanza...
Back
Top Bottom