Recent content by Rivaldo shirima

  1. Rivaldo shirima

    Natafuta Chuo chochote kizuri cha Afya Dar es Salaam

    Samahani Mkuu nimekuelewaaa vizur sana....lakini pia naisii wewe katika kusoma kwako koote umeona hilo neno chochote tu.....ivii ni kwel ujaona hilo neno kizur??
  2. Rivaldo shirima

    Natafuta Chuo chochote kizuri cha Afya Dar es Salaam

    Jamani ndugu zangu habari zenu.... Samahanini sana naombeni msaada wenu sana nipo serious natafuta Chuo cha Afya kizuri Kwa maana wanafundisha vizuri. Nahitaji kusoma Clinical Medicine. Mwaka jana nilitafuta nilichelewa Kwa Mwaka huu nahitaji kwenda Chuo na sio kubaki tena nyumbani... MATOKEO...
  3. Rivaldo shirima

    Topic gani ilikusumbua sana O-level au A-level

    Organic aiseee[emoji3064][emoji23][emoji23]
  4. Rivaldo shirima

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Iyoo hapana mkuu....only one week and full kwenye box lake Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Rivaldo shirima

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Infinix hot 8 used for only one week inauzwaa....laki 2 tuuu badala ya laki 2.4 Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Rivaldo shirima

    Nitakuzaje biashara yangu

    Enx alot be blessed
  7. Rivaldo shirima

    Nitakuzaje biashara yangu

    Sawa Sawa nashukur
  8. Rivaldo shirima

    Nitakuzaje biashara yangu

    Yan ndo nimefungua kama 3 weeks ago....nimeweka mzigo mara moja tu ambayo iyoo mara moja ilikuw kariakoo
  9. Rivaldo shirima

    Nitakuzaje biashara yangu

    Natangaza through WhatsApp and also am trying to inform baadhi ya my friends
  10. Rivaldo shirima

    Nitakuzaje biashara yangu

    Mzigo wa Kwanza nilichukua kariakoo And ni nguo za kiume
  11. Rivaldo shirima

    Nitakuzaje biashara yangu

    Jamani samahanini, mimi ni mgeni humu JamiiForums. Kwa sasa nipo Bagamoyo nimemaliza Advance mwaka huu lakini chuo nitaenda next year. Baada ya kurudi jeshi mujibu wa sheria, nimefungua duka langu la nguo but still bado halijawa kubwa. Naombeni msaada nitakuzaje biashara yangu au nitapata wapi...
Back
Top Bottom