Mangungu yupo kwa kazi maalumu simba ya kufanya GSM atangaze brand yake kila mahala kwa kusaliti timu
Mangungu akimtumia msemaji Ahmed Ally kuwavika mashabiki kilemba Cha ukoka kwa kuwasifu wachezaji wanaosajiliwa kwa kuwaita majina kama vile straiker refu kuliko goli, mlete mdhingu, nk...
Msemaji wa simba Ahmed Ally anatumika na viongozi wa Yanga kutoa Siri za timu hasa inapotaka kukutana na Yanga
Aidha ni mtu anayewapamba wachezaji dhaifu/hawana kiwango kipindi Cha usajili.
Hivyo anatumika kufanya propaganda ili kuwaaminisha Wana simba.
Huyo anapaswa kuondoka simba akiwa pamoja...
M/kiti wa Simba na meneja wa habari na mawasiliano Ahmed Ally wanapaswa kuachia ngazi kwani hao wanaihujumu simba kwa kufanya propaganda za kuisifu simba kwamba ni Bora ili ionekana ni timu Moja imara yenye wachezaji wazuri kumbe wanaifanyia propaganda ya kutufunga macho.
Bila ya Hawa kuondoka...
Huyo jayruuty ni tapeli mkubwa!
Viongozi watatueleza asipotekeleza, wameingia mkenge na ndo mwisho wa zama za uongozi wa mangungu, Ahmed ally na uongozi wote
Hii ndivyo tunavyoweza kusema Leo mechi ya Azam vs Yanga,
Yanga wamecheza kwa nguvu kubwa na Kasi kubwa sana Leo, na hii inaweza kufanya tukaanza kuamini kwamba Yanga WAMEANZA KUCHOMA Yale mambo Yao.
Mamlaka zifuatilie kwa karibu.
Wizara ya afya kitazameni chuo Cha Tabora EA polytechnic kwa karibu,
Wanafunzi wananyimwa kufanya mitihani kisa semester ya kwanza tu kisa kutokamilisha malipo ya ada hata kwa kiasi kidogo Cha elfu mbili au Tano kinachobaki, hii nimesikia wakilalamika kwamba Wana mitihani 24/2/2025 na...
CHUO Cha TABORA EA polytechnic kimekuwa JANGA kwa wanafunzi wanaosoma hapo kwani wanachuo wanalazimishwa kumaliza ada ya mwaka mzima ndani ya semester ya kwanza na bila hivo wasiomaliza hawafanyi mtihani hata kama wamebakiza elfu mbili tu.
Tunajua kwamba ada ndo inalipia gharama mbalimbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.