Tatizo wakenya walimcheka jiwe wetu, alipotangaza tutegemee maombi halafu keshokutwa yake wakaripotiwa wagonjwa 84 wakenya walizomea mno. Jiwe akaona dawa yao ni kuwafunikia tu hakuna habari ya mgonjwa hapa ila ubaya wa ugonjwa haufichwagi hata siku moja na ukiuficha utakuumbua tu
Hassan ameshiba hajali wenye njaa, marehemu baba yake alipewa 100m za tanzanite anakula na kusaza hana shida, hajui vijana vijijini na uswahilini tulivyo na maisha magumu baada ya uchumi wa nchi kuwa katika hali mbaya, ajira hakuna, biashara haziendi.
Mwambieni sisi hatujamtuma atusemee, asemee...
Kweli we njemba Bichwa La Mtoto, yaani hata halijui kuchanganua Uongo na Ukweli, Bichwa la Mtoto halina uwezo wa kufahamu nani yupo upande wa Wananchi na nani anatetea maslahi ya matumbo ya watawala. Bichwa la mtoto linawaza uji tu na maziwa mambo mengine ni empty set
Sikia watu waovu na waongo...
Mwambieni
NDEGE hazitatusaidia
Stiglers Gorge ni Janga
Kutumia hela za wananchi kuspend kwenye Liabilities Kutatudidimiza
Kuapply sera za Mwalimu wakati Mwalimu alikuwa kipindi cha ANALOGY sasa hivi dunia ipo DIGITAL ni Kujirudisha miaka ya 70
Mwambieni afanye yafuatayo
1. Aandae mazingira...
Habari!
Naitwa Risker, ni Mshauri na Mchambuzi wa mambo ya kibiashara. Nakaribisha watu wenye Mitaji Midogo, Ya Kati na Mikubwa wanaotaka kuwekeza kwenye soko la Tanzania na nje Niweze kuwapatia aina za biashara ambazo zitaendana na mazingira yao, mitaji yao, hali ya uchumi wa nchi, ujuzi wao na...
But note this, LOCATION ndio kila kitu kwenye biashara so kabla hujafikiria mambo ya risk kwanza angalia location unayotaka kufungua biashara yako biashara gani ukifungua itapata wateja wengi
Mkuu biashara ulizosuggest ni kutafutia hela ya mboga ebu sema mkoa uliopo tukupe biashara za kutokea badae uche na kazi uwe mwajiri sio mwajiriwa. Suala la risk hakuna biashara isiyo na risk mzee kuna watu wanafungua mighahawa lakini inakufa pia so every business has it's own risk ndio maana...
Wale watumwa kama nawaona wanavyoumia Mh MEMBE anavyorudi kwenye kiki. Na huyo katibu mgeni sijui nani kamwambia mtu kugombea 2020 ni dhambi. Mbona hamjiamini wazee nyie si mnasema mmepiga kazi maendeleo yanaonekana acheni sanduku la kura basi liwachague tena sio kutishatisha watu hapa. Uoga...
Zzk anaandika andiko la kichumi kabisa akiiga filosofia za kichumi za Mentor wa Mamilionea Mmarekani mwenye asili kijapan Robert Kiyosaki kwenye kitabu chake cha Poor dadidy rich daddy anaongelea kuhusu namna ambavyo masikini hutumia fedha walizozipata kwa jasho kwenda kununulia liability ili...
Dah! Mkuu hiyo sio rahis kwa Tz, yani tunachoweza kufanya ni kumuombea tu mkulu ajaribu kuona dunia inakoelekea, ajifunze chumi za nchi kama malayasia, south korea, singapore zilikuaje wakati walikuwa maskini wenzetu, kumuombea asikilize wataalam wa uchumi kama akina zitto, kumuombea aache...
Amechagua kufanya uchumi wa vitu sio wa watu, watu mifuko imekauka anajenga barabara na madaraja na ndege. Unajua tunaposema amefanya watu wakose hela mifukoni kuna wengine hawaelewi watakwambia kwani kaja kuwachukulia hela watu mifukoni mwao! hapana iko hivi namna ya kuwafanya watu wawe hela...
Kusema kitu mbona watu wanasema sana ila mwenyewe hataki mawazo wala ushauri wa mtu tena ukionekana unampinga au kuenda tofauti na misimamo yake anafukuza mtu alafu anateua mwingine alafu akiwa anaapisha anapiga vijembe wote walioko against,
Kwani nani kakwambia kwamba mh ni mjamaa, hakuna mjamaa anayejenga kwao maghorofa alafu pembeni yake majirani ni maskini wa kutupwa vijumba vya udongo vimeezekwa kwa nyasi, hakuna mjamaa anaemiliki mamia ya maekari ya mashamba wakati wengine hawana ata ekari moja, aliyeuweza ujamaa alikuwa Baba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.