Recent content by rinee

  1. R

    Usiku umefika, Unataka lakini mwenzio mhh!!!!!!!! Unafanyaje?????

    Kumlazimisha mwenzio wakati hataki huo unaitwa UBAKAJI.. tendo hilo ni la ridhaa..mridhiane si kulazimishana..
  2. R

    Msichana jini aibuka dar

    Mtoto wa darasa la 6 ndani ya malavidavi.. kweli dunia imekwisha... TANZANIA BILA UKIMWI ITAWEZEKANA ? hata tunavoviona ni vitoto vidogo vyetu navyo vimoo kumbee.. kweli ni hatari...haswa, kwa mwendo huu kweli hata kidato cha nne watafiki bila kukwaa virusi vya ukimwi.. taifa la kesho lisilo na...
  3. R

    Kivazi cha Maunda Zorro Balaa

    Duuuh ni nomaaaaaaaaaaa:rofl: hicho kivathi jameni ndo UTHUNGU HUooo.. mboni kathi ipoo..
Back
Top Bottom