Habari wapendwa polen na majukum ya Kila siku.
Jaman Mimi kama mwana familia naomba msaada kidogo wa kujua aina za ultrasound machines na bei zake.
Kuna Uzi niliuona ukizungumzia kuhusu kufungua maabara hapa sasa naombeni msaada pia.
Habari zenu wana Jf ni matumain yangu kuwa mko salama.
Kama topic inavyojieleza hapo juu naomba msaada wa kujua namna ya kuanzisha, kuendesha faida, changamoto na namna ya kuziepuka ili niweze kudum na kupata faida ktk biashara hiyo ya duka la dawa za binadam ama mifugo.
Sijawah kbs kufnya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.