Recent content by ridzo

  1. R

    JamiiForums Tanzania Msikiti wa Mtambani Kinondoni waungua Moto

    Wadau kuweni na hekima basi matatizo na majanga yapo popote pale na mabadiliko huanzia kwako mwenyewe sasa mada mnazoziendeleza humu ni ugomvi acheni kila mtu ana uhuru wake poleni sana wandugu
  2. R

    JamiiForums Tanzania Msikiti wa Mtambani Kinondoni waungua Moto

    Poleni ndugu zanguni Mungu awape moyo wa subira katika kipindi hiki na vyombo vya usalama vitoe sababu ya moto mapema iwezekanavyo Mungu ibariki Tanzania
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ukawa rudini bungeni

    Kama lilivyo jina ni umoja wa katiba kwa hy km ilivyokuwa nia yetu katiba ibadilishwe kwa hy uwepo wenu ni muhimu bungeni kuliko tunavyofikiria vinginevyo hata umoja huu utakuwa hauna maana km endapo katiba haitapatikana Tujishushe turudi ila vinginevyo kamwe katiba haitabadilishwa hata chama...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi UDSM Kuanza Mgomo Na Maandamano Yasiyokoma - Jumatatu, Tarehe 5 May

    Maisha yenyewe yamepanda bei haya na cc watupe 10000 kwa cku baxi maana kila kitu juu
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Serikali moja yenye majimbo
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Serikali moja
  7. R

    JamiiForums Tanzania Daraja la Ruvu halipitiki sababu ya maji ya Mvua - Magari ya Mikoani yakwama

    Hii ni shida wadau na adha
  8. R

    JamiiForums Tanzania Tamko la awali la CHADEMA kupinga uchaguzi mdogo wa Chalinze

    Asiyekubali kushindwa si mshindani jipangeni uchaguzi mkuu chadema hapo mtapoteza mda tu
  9. R

    JamiiForums Tanzania Bomoabomoa Tandika

    Leo mitaa ya tandika davis corner imefanyika bomoabmoma inayiendelea hado sasa vibaka wamejaa tele
  10. R

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 21 Machi 2014 - Hotuba ya Rais, Uzinduzi wa Bunge Maalum

    Sasa akijibu kutakuwa hamna umuhimu wa bm la katiba think first
  11. R

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 21 Machi 2014 - Hotuba ya Rais, Uzinduzi wa Bunge Maalum

    Du mheshimiwa anajibu kisiasa hapa sera za chama chake kuhusu muungano
  12. R

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 21 Machi 2014 - Hotuba ya Rais, Uzinduzi wa Bunge Maalum

    Ngj utasimuliwa uongo hlf uanze vurugu acha uoga sikiliza huko
  13. R

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 21 Machi 2014 - Hotuba ya Rais, Uzinduzi wa Bunge Maalum

    Ohoo anawapa na seminar kbs
Back
Top Bottom