Recent content by ricksily

  1. ricksily

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Iyo kaluli ya can't play two Defensive midfielder sidhani kama ni sawa, mbona kuna timu wanatumia na wanapata matokeo, nafkiri pia inategemea aina ya watu unaokutana nao ndo inqkusababisha uchezeshe wakabaji wangapi.
  2. ricksily

    Ni baada ya mda gani..??

    Kuna kipimo kinaonyesha afta 2 weeks, nmekisahau jina Ila kwa vipimo vingi vilivyozagaa mahospitalini ni after 3 months!
  3. ricksily

    Kaambiwa anaugonjwa wa rheumatoid arthritis

    Anhaa pliz naomba uziseme dalili zake uyo mgonjwa (uzitaje symptoms zake)
  4. ricksily

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Nenda hospitali kwa matibabu mazuri zaidi. Ukishindwa kabisa nunua na utumie fluconazole tabs, clotrimazole ya kupaka eneo husika then, uzingatie usafi & ukavu wa mwili wako na nguo za ndani. (hakikisha unazianika juani/unazipiga pasi)
  5. ricksily

    Mimbaa kwa wanawake naombeni mtusaidie

    Ata ajifanye anajua vipi hawezi kuwa na uhakika wa jibu ili kuwa aliemjaza ni yupi.
  6. ricksily

    Ugonjwa gani huu

    Hakuna atakaekupa jibu la uhakika kwa kuiona iyo picha, nenda hospital ukafanyiwe assessment. Ila yawezekana ni kaswende (syphilis)
  7. ricksily

    Chakula kwa mtu wa operation

    Haaha so unahitaji ushauri mwingne zaidi ya ule wa daktari? kua makini na utakachoshauliwa. Afu next time ukiwa ujaelewa kitu uliza pale pale unapopewa ushauri. Kuhusu kuzuia kupata choo kigumu apate maji ya kutosha na vyakula vyenye fibre, itafaa.
  8. ricksily

    Hakuna namba 6 kama Sergio Busqet!!

    Mimi nafatilia uchambuzi wa kila mara umu, nilichogundua uyo mtoa post (Sergio 5) anachokiamini yeye ni kua Sergio ndo namba 6 bora duniani ata mkimletea mfano wa mtu gani hatokubali. Acheni kupoteza muda kubadilisha mtu anachokiamini. Mie nnachokijua mifumo imebadilisha sana majukumu ya...
  9. ricksily

    Nina shida ya kuchelewa kufika kileleni na pia kutoa shahawa chache na kushindwa kurudia tendo

    Unachelewa kama muda gani ivi? Pia umejaribu kubadilisha ulaji wako? Kama dada yetu apo alivyosema physchological health ni muhimu sanaaa kwenye kuwahi/kuchelewa au kuenda raundi ngapi ni vyema ukafka hospitali kwa ushauri na uchunguzi zaidi.
  10. ricksily

    Barcelona na ndoto za mchana

    Daah, nimeipenda hii
  11. ricksily

    Msaada kuhusu dalili za ra rheumatoid artisis

    Anhaa owkay, me nakushauri uende hosp. ukafanyiwe vipimo ili lijulikane tatzo nin. Na kama Rheumatoid arthritis ni vizur ukawai mana unavyochelewa ndo unaweza pata shida kubwa zaid.
  12. ricksily

    Msaada kuhusu dalili za ra rheumatoid artisis

    Nani kakwambia kua ni rheumatoid arthritis?
  13. ricksily

    Mwanamke mwenye vijiti mkononi anaweza pata mimba ?

    kwanza imekuaje ameweka viwili? kutokuona siku zake sio lazima iwe dalili ya mimba yawezekana ni kitu kingne pia. Na tunaposema njia za uzazi wa mpango zinazuia mimba sio 100℅ so ni vyema akapima.
  14. ricksily

    Msaada wa ushauri na matibabu

    Njia sahihi ni kwenda hospitali yeye na ivyo videmu vyake wakapate vipimo na dawa stahiki.
Back
Top Bottom