Recent content by Rickfredpaul

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kikwete agoma kutoa misaada ya Ambulances; Ikulu yaboronga!

    Ubabaishaji kila mahali serikalini. Hili tumelijua, je mangapi yamefanyika hatujui????? Sasa kama Kikwete kweli uko serious, basi fukuza kazi mara moja wale wote waliokuwa wanataka kukuingiza kwenye kashfa hiyo.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Waziri Ngeleja na Mlinzi kwenye ATM

    Mtu huwa nasemehewa kama kafanya kosa, sasa huyu mlinzi kwani amefanya kosa gani?. Yeye kazi yake ni kulinda na kuhakikisha watega watu wote wanapata huduma ya ATM. Kwa hiyo alikuwa sahihi kabisa kumuambia mteja ambaye anakaa kwa muda mrefu kuchakua hela kisa eti anaongea kwa simu. Ngeleja...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Waziri Ngeleja na Mlinzi kwenye ATM

    Ngeleja cheo cha uwaziri ni dhamana tu, rais anaweza kukuondoa hata kesho kwenye hii nafasi. Hivyo kitumie vizuri kwa faida ya Taifa si kujiona mungu mtu.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Waziri Ngeleja na Mlinzi kwenye ATM

    Huyu ngeleja anafikiri yeye kuwa waziri basi ndiyo afanye mambo anavyotaka? Waziri mzima unatumia atm kama kibanda cha simu? Huyu mlinzi akifukuzwa tu kazi aende kwenye ofisi za haki za binadamu watampatia msaada wa kisheria kupandana na mwajiri wake pia na waziri ngeleja kwa kumtukana. Kwani...
Back
Top Bottom