Recent content by Rick mill

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa mjadala wa bungeni; Wanafunzi vyuo vikuu piganieni haki yenu ya kupiga kura 25 Oktoba

    jamani haya manyanyaso yataendelea mpaka lini ikiwa idadi kubwa ya watanzania tena wasomi wenye uchungu na nchi yao kukosa tena haki ya kupiga kura ikiwa mahali walipojiandikishia ni vyuoni na mpaka xaxa uchaguzi vyuo vitakuwa havijafunguliwa. mwaka 2010 ilijitokeza lakini na sasa inajirudia...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haya maneno

    asante ndugu, vp mtu akilala chini bila kusinzia je huko, si kulala?
  3. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haya maneno

    1. Jamani naomba tofauti ya neno dondoka na anguka 2. Pia naomba tofauti ya neno lala na sinzia
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa continuing students

    asante kwa taarifa
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa continuing students

    asante kwa taarifa mkuu.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa continuing students

    Jaman vp kwa wale mwaka wa pili walioomba mkopo this term,kuna chuo chochote ambacho kishatoa majina, ama mtu yeyote mwenye taarifa kuhusu hili anijuze!
  7. R

    JamiiForums Tanzania HESLB wameanza kupokea appeals

    j.pili bodi huwa hawafanyi kaz,hivyo transaction id yako haiwezi kukubali,hivyo jaribu leo j.tatu watakuwa tayar washaiconfirm,na hata ikikataa jaribu tena baadae lazma ikubali
  8. R

    JamiiForums Tanzania Walichonifanyia Loan board duh!

    umeelewa topic lakin
  9. R

    JamiiForums Tanzania Walichonifanyia Loan board duh!

    yawezekana watu tukawa hatuelewani hapa, 2naposema continuing applicants 2namaanisha wale waliokosa mwaka jana, ambao mwaka huu wameomba tena na sio wale ambao wamefanikiwa kupata mwaka jana, ambao bado wananufaika na mikopo hiyo.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Walichonifanyia Loan board duh!

    kwan kwa continuous tayar yashatoka?
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa continuing students

    hapo umekosa ndugu,pole xana subir kuappeal au kuomba tena next year
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa continuing students

    asante kwa taarifa ndugu
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa continuing students

    asante kwa taarifa mkuu,bt bodi ni jukumu lao kutoa hizi taarifa lakini mpaka xaxa kimya
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa continuing students

    Dah let's wait tuone! Dah hawa jamaa wa bodi wanajiona xana hata cku moja hawajawah pokea cmu!
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa continuing students

    mie nshasubir xana mpaka nakata tamaa
Back
Top Bottom