Recent content by richy17

  1. richy17

    Hongereni Polisi sasa mnaikubali UKAWA - Tumespot bendera ya CHADEMA mmeifunga kwenye gari lenu

    kwani hawa ni polisi walioajiriwa na serikali au ni polisi private...sidhani kama hawa ni wa jeshi la polisi Tanzania
  2. richy17

    GPA huesabiwa mwaka wa ngapi wa chuo?

    Mkuu nilichotaka kujua ni GPA ya miaka yote huwa inawekwa kwenye cheti au ni ya baadhi ya mwaka mfano mwaka wa tatu tu?..na je kama ni ya mwaka wa tatu tu performance za miaka mingine huwa zinawekwa tu kwenye cheti pasipo kuhesabiwa gpa zake na kujumuishwa na zile za mwaka wa tatu?
  3. richy17

    GPA huesabiwa mwaka wa ngapi wa chuo?

    so pale kwenye cheti huwa inawekwa agregate ya performance ya miaka yote the GPA huwa ni ya mwaka wa tatu tu au na GPA pia ni ya miaka yoyote?..ufafanuzi kidogo mkuu!
  4. richy17

    GPA huesabiwa mwaka wa ngapi wa chuo?

    Heshima kwenu wanajamvi!!!...Ningependa kufahamu huu mfumo wa GPA kwa level za degree hususani ile ya uhasibu huanza kuhesabiwa mwaka wa ngapi na kuwekwa kwenye cheti??..je huhesabiwa kwa miaka yote mitatu? au je ni mwaka wa pili na wa tatu tu? Au ni ule mwaka wa mwisho tu yani wa tatu?
  5. richy17

    GPA huesabiwa mwaka wa ngapi wa chu?

    Heshima kwenu wanajamvi!!!...Ningependa kufahamu huu mfumo wa GPA kwa level za degree hususani ile ya uhasibu huanza kuhesabiwa mwaka wa ngapi na kuwekwa kwenye cheti??..je huhesabiwa kwa miaka yote mitatu? au je ni mwaka wa pili na wa tatu tu? Au ni ule mwaka wa mwisho tu yani wa tatu?
  6. richy17

    CPA na degree ya tax

    Ndio mkuu kinatoa degree
  7. richy17

    CPA na degree ya tax

    Mi nlijua bado kuna mambo ya modules...asante kwa kunielewesha
  8. richy17

    CPA na degree ya tax

    asante kwa kunifumbua macho mkuu
  9. richy17

    CPA na degree ya tax

    Ndiyo wanatoa
  10. richy17

    CPA na degree ya tax

    Heshima kwenu wanajamvi!!!....kuna swali linanitatiza nalo ningependa pata majibu toka kwenu.Mtu aliyepata degree toka chuo cha ITA huanza kufanya mitihani ya bodi ya wahasibu kuanzia module ipi??..ni E na F kama watu wa accountancy au ni tofauti?
  11. richy17

    Naomba msaada kuhusu simu ya Maxwest Z5

    Dah yani ndo nlikuwa nataka nitoe pesa.asante kwa kunitoa tongo mkuu.
  12. richy17

    Naomba msaada kuhusu simu ya Maxwest Z5

    Asante kwa ushauri mkuu
  13. richy17

    Naomba msaada kuhusu simu ya Maxwest Z5

    Huko nishaiangalia..nlichotaka kujua hapa ni mtu aliyewahi itumia aniambie ilivyo..inavyofunction.
  14. richy17

    Naomba msaada kuhusu simu ya Maxwest Z5

    Heshima kwenu wana jamvi. Naomba msaada kwa mwana jamvi yoyote anayeifahamu kwa undani simu ya Maxwest z5. Je! ni simu nzuri in general ?. kweli ikiwa mpya kwenye box inaweza fika 950,000 pesa za kitanzania? Mwenye kuijua hii simu au commodity za maxwest naomba anijuze. cheers!!
Back
Top Bottom