Recent content by richone

  1. R

    Dr. Slaa: Uongo ni dhambi na siko tayari kuishiriki!

    wewe Dr wacha kutuumiza roho ungana na wenzako tafadhali au tufanye tufuraahie ujio wa Louwasa
  2. R

    Nataka kujenga ghorofa 5, itanigharimu Milioni ngapi?

    Itakugharimu tsh milioni 50,babu yangu aliwahi kujenga ghorofa 6 hapa moshi na alitumia sii zaid ya 50m
  3. R

    msaada kuhusu INFLAZONE.dawa yaujauzito.

    unatakiwa usikilize tena ushauri wa dr.
  4. R

    Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    ajirekebishe akawaangukie viongozi wake
  5. R

    Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Mh waziri asiyekuwa na wizara maalumu Mh Mwadosya amewapongeza kamati ya PAC lakini zaidi CAG , pia amesema hakuna sababu ya kuficha lakini ukweli ni kwamba fedha ni za umma hivyo anawatia moyo wabunge wafanye maamuzi kulingana na kazi nzuri iliyofanywa na kazi ya PAC. mchango wake huu...
  6. R

    Msaada tiba Kwa fangasi za kooni!

    Nitafute kwa namba 0757420505 NI ugonjwa mbaya sana hivyo nitafute naweza kukupatia dawa na utapona kabisa
  7. R

    Nategemea kupeleka hii Hoja yangu binafsi Bunge la August 2013 kuhusu Ajira kwa Vijana

    huu nu ujinga usitufanyie kiini macho wewe huwezi na wala sii kijana mwezentu hkunaga kijana kama wewe hebu acha kujikomba kwetu hatujakutuma subiri 2015 kunawatu tutawaagiza wafuatilie swala letu
  8. R

    Siri yafichuka: Picha ya Mwigulu Nchemba na mgombea udiwani wa CHADEMA Elerai

    Mwigulu mbona mshamba kiasi hicho yani ameshindwa kuwashawishi watu waichague CCM matokeo yake anakwenda kumshawishi mgombea wa CHADEMA ajitoe ili wananchi wamkose wa kumpigia kura. Hii ni aibu kabisa na inathibitisha kuwa CCM haikubaliki tena kama wanashindwa kuomba kura najiridhisha bomu lile...
  9. R

    UDOM uchaguzi

    Hakikisheni hamiwachagui magamba kwani yatawagarimu
  10. R

    Norman Sigala mkuu wa wilaya anayethamini hujuma kwa elimu ya watanzania kuanzia Hai mpaka Mbeya

    Wewe unashangaa mkuu wa wilaya Ndg Dr Norman Sigalla kumlinda diwani mwizi wa mabati kwenye shule huko mbeya? wewe fuatilia mkuu huyo ndiye mwizi kabisa kwani aliwahi kukusanya michango ya kujenga sekondari za kidato cha tano na sita alipokuwa mkuu wa wilaya ya Hai ambapo alijiundia kamati...
  11. R

    Diwani aliyeiba bati za shule Mbeya aendelea kulindwa na mkuu wa wilaya ya mbeya

    wewe unashangaa mkuu wa wilaya Ndg Dr Norman Sigalla kumlinda diwani mwizi wa mabati kwenye shule. wewe fuatilia mkuu huyo ndiye mwizi kabisa kwani aliwahi kukusanya michango ya kujenga sekondari za kidato cha tano na sita alipokuwa mkuu wa wilaya ya Hai ambapo alijiundia kamati kinyume na...
  12. R

    Sijashiriki kurekodi mkanda wa video unaomwonesha ndg Lwakatare

    mwingulu senge kwelikweli anajiona kaandika kitu chenye akili kupe usenge tu.
  13. R

    Mengi ataka wakristo waache waislam wachinje!

    mengi aende akachinjwe yeye na hao waislamu kwanza
  14. R

    Mengi ataka wakristo waache waislam wachinje!

    usenge huo nitachinja mwenyewe na nitakula kutoka mabucha ya kikristu liwalo na liwe
  15. R

    CHADEMA na Majimbo,Uzinduzi wa M4C Dodoma!

    ili ili lalalalalalalalalal dnnnnnnnn dheieiwkdjsm nsmjdh skjwddir mdkjsnn
Back
Top Bottom