Recent content by Richcountrytz

  1. R

    Paul Makonda afunguka

    Huo ni upotoshaji, huyo wala sio Paul Makonda....Huyo kijana anaitwa Deo ni mdogo wake na Sheria Ngowi yupo ofisini pale kwa Sheria na hiyo ndiyo kazi yake kuwafanyia Wateja waendao pale.
  2. R

    Lowassa, Membe kutupwa nje, Makongoro kumrithi Kikwete

    Ulikuwa hujawahi kujua kama Yeriko ni kichaa anayejielewa? Sijawahi kumkubari wala kuķubaliana na anachoandika hata siku moja. Najua ni condom tu hana lolote.
  3. R

    Mwigulu, Nchimbi na Makamba Wavurugana; Magufuli kujiunga na kundi hilo la Vijana

    Kazi ya: - Upson Mwang'onda, - Bashe, - Nkya, - Bomboko Jr, - Ocampo Four, Na wengine. Wakimtumikia Mfalme wao LOWASA. Sikio hata siku moja halizidi kichwa.
  4. R

    Hakuna kiongozi ‘spesho’ wote wanaweza

    Na Mwandishi wetu. Yapo madai kuwa, baadhi ya viongozi ni ‘wateule’ au ‘majembe’ na hawawezi kuondoka madarakani hata wakiwa na madoa. Lakini ukweli unabaki kuwa kila mmoja akipewa nafasi anaweza, hivyo si muda wakujisifia wala kuwa king’ang’anizi madarakani. Mchambuzi wa masuala ya Uongozi...
  5. R

    Mwigulu Nchemba: Sijadanganya umri, kinachoonekana ni makosa ya kiuchapaji

    Kama kweli Mwigulu anataka kujisafisha na hili, basi atuletee hapa au wewe salali wake tuletee hapa kopy za vyeti vifuatavyo: 1). Cheti cha Ubatizo 2). Cheti cha shule ya Msingi 3). Cheti cha O'level 4). Cheti cha A'level 5). Cheti cha Undergraduate 6) Cheti cha Masters. 7). Cheti cha Kuzaliwa...
  6. R

    Ngeleja chaguo la Watanzania, Lowassa chaguo la CHADEMA

    Kajipangeni tena... tunajua NCC ndo itawamaliza kabisa
  7. R

    Ngeleja chaguo la Watanzania, Lowassa chaguo la CHADEMA

    Kama uko jimboni kwake unawezaje kusema maneno ya kizandiki namna hiyo au unatumika? Juzi tu kawaburuza UKAWA pamoja na vihoja vyao vya escrow huko jimboni kwake... Baada ya uchaguzi kukamilika jimbo la Sengerema jana,matokeo ni kama ifuatavyo: Vijiji CCM 85 per cent,UKAWA 15pct. Vitongoji CCM...
  8. R

    Ngeleja chaguo la Watanzania, Lowassa chaguo la CHADEMA

    Aminini maneno yangu: Katika siasa za Tanzania, siasa za kuchafuana... binafsi sijawahi kuona Viongozi wa Chadema wakipanda majukwaani kusema mabaya au mabaya ya kutunga ya Mhe. Lowasa kama wafanyavyo kwa watu wengine vigogo wanaotajwa katika kuwania Urais kupitia tiketi ya CCM. Naamini kama...
Back
Top Bottom