Recent content by Richard

  1. Richard

    JamiiForums Tanzania Bilionea Joseph Mbilinyi aanika Utajiri wake ili kuondoa Mkanganyiko

    Kwani weye shida yako nini zile bilions au hiyo style ya nywele? Hata mtu akiwa na kichwa kama papai madhali ana bilions in the bank kihalali kabisa, then STFU.
  2. Richard

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Chivayo, mke wake na wengine 3 kwa niaba ya Serikali na Wananchi wa Tanzania

    Soma zaidi hapa: We are not mourning - Zimbabweans celebrate death of controversial businessman - NewZimbabwe.com
  3. Richard

    JamiiForums Tanzania PICHA: Huu Ndio Muonekano Wa Dkt Slaa Kwa Sasa. Anatia Huruma Sana

    Kuna yale mapungufu nilokuambia unayo wakti ule wayakumbuka? That is a personal attack kwa huyo mzee na dhihaka sidhani kama waelewa? Hiyo haikusaidii chochote kwasababu wajidhalilisha weye mwenyewe.
  4. Richard

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kifo Cha Bilionea Chivayo :Je Huu ni Utabiri au Mpango Mkakati?

    Tatizo kubwa ni mienendo yake (conduct) na pia tuhuma kwamba amelima urafiki na hao alokuwa nao karibu. Hivyo kuna vitu viwili vya msingi hapo conduct na cultivation of friends ambapo hiyo the former (cultivation) ni kulazimisha urafiki kwa kutumia njia yoyote ile ili kushawishi kuhusu mambo...
  5. Richard

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kifo Cha Bilionea Chivayo :Je Huu ni Utabiri au Mpango Mkakati?

    Katika Dunia ya leo kuamini kwamba mtu fulani ni mkristo au muislamu khasa hao wenye utajiri wa kutupwa itakubidi ufanye utafiti wa hali ya juu. Si mkritso au muislamu wote wana mambo mengine nyuma ya mafanikio yao ambayo weye na mimi hatuyafahamu. Bila hivyo utakuwa na imani haba sana na bora...
  6. Richard

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kifo Cha Bilionea Chivayo :Je Huu ni Utabiri au Mpango Mkakati?

    This guy has implicated so many figures, that's why he had to depart with his whole family!! They are going to inherit everything not his wife nor his kids.
  7. Richard

    JamiiForums Tanzania Nani anakumbuka kashfa ya Wahaini wa kweli, Pius Lugangira, na Hatibu Gandhi, kutoroka gereza la Keko mwaka 1984?

    Nyerere aliona mbali kwa kuunda mfumo imara ulopenya hadi ngazi ya familia. Pili alipoamua CCM iwe na mkoa wa majeshi. Yaani , kwa usalama na unyeti wa sehemu fulanifulani basi wachukua mjeda mmoja wamweka pale. Hata hivyo bado zipo fursa kwa viongozi ambao wameamua kukaa madarakani ambapo...
  8. Richard

    JamiiForums Tanzania Nani anakumbuka kashfa ya Wahaini wa kweli, Pius Lugangira, na Hatibu Gandhi, kutoroka gereza la Keko mwaka 1984?

    Ni bahati mbaya tu sisi waafrika hatuna appetite ya kuweka kumbukumbu kwa sababu hata vyombo vya habari siku ile hawa jamaa walokamatwa wangeweza kupata picha zao kwa ajili ya kumbukumbu.
  9. Richard

    JamiiForums Tanzania Nani anakumbuka kashfa ya Wahaini wa kweli, Pius Lugangira, na Hatibu Gandhi, kutoroka gereza la Keko mwaka 1984?

    Uncle Tom alikuwa na dawati pale hoteli iloitwa Bushtrekker pale mkabala na Nyumba ya sanaa (enzi hizo) Hivyo akifanya mazungumzo ya madili alipenda kufanyia pale na pembeni yake siku zote alikuwa na Luteni Maganga ambae kwa mujibu wa shahidi meja jenerali Mayunga alikuwa ni kijana aliemfahamu...
  10. Richard

    JamiiForums Tanzania Nani anakumbuka kashfa ya Wahaini wa kweli, Pius Lugangira, na Hatibu Gandhi, kutoroka gereza la Keko mwaka 1984?

    Uncle Tom alikuwa ni kingmaker yaani kama Lugumi na meja generali Silas Mayunga akiwa shahidi wa upande wa mashtaka alisema mahakamani kwamba Uncle Tom alitaka kupewa zabuni ya kuleta vifaa vya kijeshi vya mawasiliano. Meja jenerali Mayunga alisema alikutana na Uncle Tom kama mara nne hivi na...
  11. Richard

    JamiiForums Tanzania Nani anakumbuka kashfa ya Wahaini wa kweli, Pius Lugangira, na Hatibu Gandhi, kutoroka gereza la Keko mwaka 1984?

    Waingereza walipendelea Lule awe raisi na sio Obote hivyo Nyerere akafacilitate hiyo kitu na Lule akawa raisi ingawa baadae alianza kuharibu na ndo hakukaa sana. Lule alionekana ni moderate kwa wazungu na Nyerere na baada ya mazungumzo ya Moshi (Moshi Conference) Lule akapitishwa awe raisi...
  12. Richard

    JamiiForums Tanzania Nani anakumbuka kashfa ya Wahaini wa kweli, Pius Lugangira, na Hatibu Gandhi, kutoroka gereza la Keko mwaka 1984?

    Ulinzi wa Lule ulikuwa chini ya TPDF na Tamim alikuwa ni mmoja wa waratibu. Lule alifanya kazi kwenye serikali ya kikoloni ya Uingereza na alikuwa mtu wao, hivyo UK walitaka kuwe na security guarantees kwa Lule na serikal yake na ndipo Nyerere akaagiza TDPF waprovide. Hata alipoondolewa kwenye...
  13. Richard

    JamiiForums Tanzania Nani anakumbuka kashfa ya Wahaini wa kweli, Pius Lugangira, na Hatibu Gandhi, kutoroka gereza la Keko mwaka 1984?

    Weye fikiria kulikuwa na timu ya mazee kapteni Mohamed Tamim ambae alikuwa ni komandoo, kapteni Dietrich Oswald Mbogoro, Kapteni Chris Kadege, Kapteni Mapunda, Kapteni Rodrick Rosham Robert, Luteni Kanali Martin Msami, Luteni Eugene Maganga na Luteni Badru Rwechungura Kajaja. Wengine ni Luteni...
  14. Richard

    JamiiForums Tanzania Nani anakumbuka kashfa ya Wahaini wa kweli, Pius Lugangira, na Hatibu Gandhi, kutoroka gereza la Keko mwaka 1984?

    Hao ndo walikuwa vinara huyo ni Khatib Gandhi Mcghee (Hatty Mc Ghee) na rafiki yake Pius Lugangira ambae jina lake la kimkakati lilikuwa ni Uncle Tom. Jopo la mawakili maarufu kwa upande wa utetezi walikuwa ni Hussein Mucadam na Murtaza Lakha, bwana Jadeja na bwana Tarimo. Huyu Murtaza Lakha...
Back
Top Bottom