Recent content by Richard Njau

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kuwa mfanyabiashara mkubwa Tanzania bila ndumba au ulinzi wa wataalam inawezekana?

    Kama wewe ni Mtu wa Imani sana nakushauri usifanye Biashara. Ni vigumu mfanyabiashara Kuiona Pepo [emoji24] Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  2. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwekezaji katika biashara yangu

    Hongera kiongozi. Nakushauri uingie bank ukope, kwa kuwa Tanzania bado hatuna uaminifu kiivyo Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  3. R

    JamiiForums Tanzania Laini za uwakala

    Karibu boss. Ndani ya saa 24 inakamilika. Ila sikukuu na wikiendi inaweza chelewa
  4. R

    JamiiForums Tanzania Laini za uwakala

    Hahahaaa, Fanya kazi kiongozi utaona faida na maendeleo. Ili tukuite mwizi kama wachaga
  5. R

    JamiiForums Tanzania Laini za uwakala

    Ndani ya saa 24 kiongozi. Ila wikiend na sikukuu inaweza chelewa. Karibu
  6. R

    JamiiForums Tanzania Laini za uwakala

    Mimi ni wakala mkuu wa halopesa, unahitajika TIN, na kitambulisho (unapiga picha unanitumia WhatsApp 0718120763)na usajili laini ya halotel kisha iwekee halopesa Tsh 100,000 ambao ni mtaji kianzio kisha nakuwezesha
  7. R

    JamiiForums Tanzania Malipo wa Serikali Kwa wakala wa mitandao

    Kwa uzoefu wangu hakuna njia ya moja kwa moja kwa kutumia simu ya uwakala kufanya malipo hayo, hayo ufanyika kwa kutumia uwakala wa kibank(mashine) au machine ya selcom Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  8. R

    JamiiForums Tanzania Wapi wanatoa mikopo yenye riba nafuu kwa wajasiriamali wadogo?

    Kitambulisho cha mjasiriamali siku hizi hakipo hivi? Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kuanzisha biashara ni jambo gumu sana kuliko kutafuta ajira

    Unaweza kuanza popote unavyoweza ila uwe na focus ya wapi unaenda huku ukiongeza taratibu
  10. R

    JamiiForums Tanzania Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

    Tena NMB wana product nyingine inatoa hadi 12% kwa mwaka.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Je, Nifanye Biashara gani?

    Hakuna haja ya kununua kamera picha unapiga na simu
  12. R

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Mikoa ukienda kufanya biashara support inakuwa ndogo kwasababu sio mzawa au kabila moja, unawezaje kutoboa?

    Maneno yako hayana ukweli sana kwani kama bidhaa na huduma yako ni nzuri lazima utoboe
  13. R

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuhamisha TIN number kutoka mkoa mmoja hadi mwingine

    Kama ni kampuni ingia kwenye taxpayers portal kuna sehemu ya kuchange tax region. Ya binafsi nadhani online inafanyika pia(sina uhakika)
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mtaji milioni 25 - 30

    Consultant, unamaanisha ni Doctor au Consultant wa kitu gani?
Back
Top Bottom