Habari wanajamvi.
Leo nimeona ni vyema tujumbushane fujo la vurugu za mwaka wa uchaguzi. Mambo huwa ni mengi sana yanayofikirisha na yanayozua maswali mengi yasiyokuwa na majibu.
Rai yangu kwa watanzania wenzangu wote, tusiingie kwenye mtego wa wanasiasa, wao kama wanataka kuzuia au kukinukisha...
Hapa kuna vitu nimenote.
1.upendeleo
2. Yawezekana sheria na taratibu aidha hawazijui au wanavunja kwa maksudi.
3. Wewe pia kuna ka uzembe ulikuwa nako,maana najua interview wanatangazaga kuna mda wa kutosha kuandaa documents zote mkubwa
Hellow jamii, ni matumaini yangu mko poa na wazima wa afya njema sana. Namshukuru Mwenyezi Mungu kwajili ya hilo.
Guys, katika pita pita zangu vyuoni na taasisi mbalimbali nimekuwa nikiiskia hii kauli " MAAFISA UTUMISHI WANA ROHO MBAYA SANA" na hawaishii hapo wanaenda mbali kwa kutoa shuhuda...
Hellow JF.
Leo nimeamua kukusogezea hili, Ivi sasa familia nyingi sana zimekuwa zikipitia mazingira magumu sana ya kuhangaika,kuteseka,masimango,mates na Madhira mengi saana. Wengi wanaishia kupambana na changamoto hizo bila mafanikio na wengine wanaishia kufurukuta Kadri wawezavyo lakini...
Habari wanajamvi.
Leo nimewaza sana na kujiuliza sana umuhimu wa waliobobea katika sayansi ya jamiii wako wapi? Na mchango wao katika jamii ni upi?
Sisemi kwamba hawa wataalamu hawajafanya chochote hapana, lakini kwanini Kuna matatizo sugu ambayo wanaweza kuyashughulikia lakini mpaka leo yapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.