Nilijarib kufanya utafit Wang binafs, nikagundua jpm anapendwa sana na wananchi japokua watendaji kazi wake wanao msaidia ndo wana mwangushaxna, na kufanya wananchi baadhi kuilaum serkar ya jpm .ww kam maana jforums una maoni gan? Una mkubr au
Tanzania toka uhur mungu kailindaxna tunaishi kwa a man.ndo maana mung akamua kumweka jpm ili kutetea taifa ili ambalo lili kuwa limepotea kabx. Mung mbarik jpm mpatie maarifa ili Tanzania Iwe inchi ya historia.kama unampenda jpm like
Leo tumeshaingia mwaka mpya. Hebu tujikumbushe ya mwaka jana nilijaribu kufuatilia televishen ya TBC walikua na program nzuri sana . ya kuwauliza wananchi maoni yao juu ya utendaji wa Rais.
Wengi walimsifia sana Rais kama mchapa kazi. Sasa leo na sisi wadau wa Jamiiforums hebu tuchangie ili...
Leo tunataka kuchambua mambo ambayo jpm kachemka kabisa2017. 1 .katika suala la ajira.mhesimiwa rais ktk hili kachemka vijan weng typo mtaan tu na huku alituaid neema.2. Uhuru Wa kujieleza, pia ktk suara hili bilashaka amechemkaxna,xxiv ukitaka kuriport kitu you must be care tofaut na awam...
Ukijaribu kuangalia mwaka kwa miaka hi miwili jpm Raise wetu kafanya mambo makubwa tena mazitoxna.ambayo awam ya 3 na ya4 walishindwa kabisa kuyafanya kwa mfano, kupitia upya mikataba ya migod nchini,kuweka nidham ya kaz kwa watumish, kupambana na Rushwa na madawa ya kulevya na vitu vingxna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.