Recent content by richad

  1. richad

    Naomba kujuzwa gharama za kujifunza umeme wa magari

    Habari za saizi wakuu, ngoja niende moja kwa moja kwenye mada husika, Nilikuwa naulizia gharama za kujifunza umeme wa magari garage inaweza ikawa shilingi ngapi na vipi kuhusu kupata gape la kufanyia kazi hususani kuhusu hiyo fani ya umeme wa magari na je iko vizuri kwenye ishu ya kujiajiri au...
  2. richad

    Je ni sahihi deni la mzazi kuhamishiwa mtoto

    Kumbe ni utapeli kiongozi,kwahiyo nifanyeje kuliepuka hili
  3. richad

    Je ni sahihi deni la mzazi kuhamishiwa mtoto

    Shida pia mkuu wanaotaka kufanya hivyo sio taasisi husika bali ni wanakikundi wenzie wachache wengine wamekaa kimya tu mkuu,bora hata ingekuwa taasisi yenyewe ndo inataka kufanya hivyo lakini sasa sio wao? Je nitawaamini vipi kiongozi kama pesa hiyo ikitoka itaenda moja kwa moja kwenye...
  4. richad

    Je ni sahihi deni la mzazi kuhamishiwa mtoto

    Sawa mkuu ngoja nifikirie pia kwa hilo
  5. richad

    Je ni sahihi deni la mzazi kuhamishiwa mtoto

    Uthibitisho wa hati hawana kaka,hati ya nyumba ninayo Mimi lakin nashangaa wanaanza kuniambia ya kwamba aliweka nyumba ilihali ye mwenyewe mzazi alisema ajaweka na hati akanikabizigi mapema sana mkuu
  6. richad

    Je ni sahihi deni la mzazi kuhamishiwa mtoto

    Sawa kiongozi ngoja nifanye ivyo
  7. richad

    Je ni sahihi deni la mzazi kuhamishiwa mtoto

    Habari za saizi wana jamiiforums natumaini mu wazima wa afya, ngoja niende moja kwa moja kwenye mada husika Eti kwa mfano mzazi wako alikopa fedha kwenye taasisi zinazokopesha fedha, akashindwa kulipa deni hilo akaondoka nyumbani bila taarifa yeyote sasa wale wanakikundi wenzake wakaanza...
  8. richad

    Naomba ushauri nataka ku reseat o'level examination

    Jamani poleni na majukumu natumaini muwazima wa afya naomben ushauri kuhusu swala la kurudia mtihani was kidato cha nne nataka nirudie masomo ya science ambayo awali sikuyafanya je inawezekana naombeni msaada wenu, matokeo yangu ya mwanzo yalikuwa hivi: Language-D History-C Geography-D...
  9. richad

    Msaada

    Wakuu naomba msaada namna ya kusolve parallelogram law of vector addition? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. richad

    Msaada wa mawazo

    Nataka kujua kiundani kuhusu koz ya laboratory science and technology? Na kaz zake zinakuweje Sent using Jamii Forums mobile app
  11. richad

    Msaada wa course

    Hivi wakuu nataka kujua kiundani kuhusu higo course na kazi zake koujumla? Inakuwaje Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom