Hivi eti inawezekana kuongeza chaneli ambazo hazipo kabisa kwenye king'amuzi. Mfano mie natumia ZUKU ila haina star tv wala super sport, Je nazipataje hizi chaneli?
Hivi naomba niulize kitu. Kuna kipindi huwa inatokea akiingia demu mzuri au hata wa kawaida tu mahali fulani, utakuta midume inammezea mate. Hivi hisia hizi na wanawake wanakuwaga nazo kweli kwa maana kuwamezea mate wanaume hasa mahendsam kama mimi?
Komaa tu utapata. Jitahidi uwe unazunguka mwenyewe kuliko kusubiri kuunganishiwa utasubiri sana. Nakuhakikishia ukizunguka ndani ya mwezi mmoja tu utapata.
Pitia material ya mambo yanayohusu fani hiyo, ishu za IT n.k, pia wanaweza kutoa maswali ya kutumia akili tu. Ila hakikisha unapiga msuli. Pia mtangulize Mungu na uone kwamba nafasi hiyo ni yako. Nakutakia kila la kheri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.