Recent content by Rhude

  1. R

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya media siku hizi hazina vitu vya maana. Viongozi mko wapi?

    Kuanzia asubuhi mpaka usiku ni habari za uchambuzi wa mpira hasa Simba/yanga na habari za umbea umbea wa wasanii uchwara
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama yatupilia mbali ombi la Jacquiline Ntuyabaliwe (Mjane wa Reginald Mengi) kuutambua wosia alionao

    Kumbe huyo dada ndie Jack wa Forodhani!! Nakumbuka alikuwa anakaa masaki au obey kama sikosei
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hivi nchi hii redio gani inafaa kusikiliza?

    Tatizo watangazaji wengi wakongwe wamestaafu kabaki Masoud Manju wa muziki pekee
  4. R

    JamiiForums Tanzania Pendekezo Route mpya ya daladala, Madale-Makumbusho kupitia Goba njia Nne na Makongo juu

    Kariakoo - Mbezi kupitia Kigogo, Mabibo na Ubungo Maziwa
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mikate bora zaidi Tanzania

    Hata Zambia, Zimbabwe mkate ni lazima kwenye breakfast
  6. R

    JamiiForums Tanzania Nimeacha kula kwasasa ili niweze kuexport save pesa

    Huwezi kuacha kula labda upunguze idadi ya milo kwa siku, tunatafuta pesa mchana na usiku ili tule, tuvae na tuishi
  7. R

    JamiiForums Tanzania Picha Yangu: Good morning Lindi

    Hapo panaitwa Mmongo, zamani kabla barabara ya lami haijajengwa palisumbua sana
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji Gerald Hando wa Clouds FM anusurika kuuawa maeneo ya Mwanyamala

    Natamani siku moja tuonane wewe mama
  9. R

    JamiiForums Tanzania Lindi mbona pamepoa sana jamani?

    Sawa mkuu, ukipata muda tembelea wilayani kama ruangwa, nachingwea au liwale huko utapata totoz za kienyei pure kabisa
  10. R

    JamiiForums Tanzania Lindi mbona pamepoa sana jamani?

    Ni kweli Lindi hapajachangamka, ni tofauti kidogo na Mtwara au Masasi. Tatizo mji wa Lindi umwinyi umejaa ni bora uende wilayani kama Nachingwea, Ruangwa na Liwale kuna vibe la kutosha
Back
Top Bottom