Mkuu nimeangalia kwa upande wao navyowaona tu wakati wanapoongea na JPM ...sio pengine si unajua kila shetani na mbuyu wake ...hata JPM nae kuna watu akiongea nao anatetemeka ....mfano JPM anamtetemekea sana MKAPA ..
Mfugale anajiamini anajua kazi yake vizuri ...mbaya zaidi Mfugale amefanya kazi na Magu katika wizara hiyo dhaidi ya miaka 20 .lakini sio Mfugale tu anaeongea kwa Magu anajiamini ..kuna Makonda...CDF Mabeyo..LUOGA..Majaliwa ...
Mkuu ambacho hujui nini ?
Marehemu alikuwa ni meja jenerali cheo cha ngazi ya mwisho kbs katka majeshi yetu...Rais ni amri jeshi mkuu wa majeshi ya kiulinzi...cheo hicho alichofariki nacho Ndg yake na mwenyekit wa chadema walionacho ni wachache sana ...hivo hata angekua adui yake Magu ...Magu...
Umeeleweka vizuri kwa vile vodacom ina wateja wengi kuliko makampuni mengi ya simu...udukuzi sio tu kwamba ni virus kwa wateja ila pia ni risk kubwa kwa kampuni kupoteza wateja....ila wakisikia wasikie wasiposikia wasisikie ...ila picha kwenye anvatar wakiona watapuuza ..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.