Recent content by Rhard

  1. R

    Nafasi za wagombea ubunge CHADEMA 2015 Kutangazwa magazetini

    Hii ni dalili ya chombo kwenda mrama!! sitashangaa kuona tangazo likiwa nilinasema added advantage Wale wa Kaskazini, wake zetu, dada na wachungaji watepewa first priority!!! Chadomo mnafurahisha sna!!! Mnatoa tamko, mnazurura nchi nzima kutengeneza posho pesa za Donor tamu sana.
  2. R

    Msigwa awashika CCM: Ahoji kwanini hawaombi ushahidi wanamwita tu Mwongo

    hivi kilichosomwa na msigwa kilikua ni bajeti ama makala ndefu hivi!!! hivi bajeti inapaswa kuwa features gani? inatoa mwelekeo wowote wa kimatumizi ama lawama tu na kupakana Matope pasipo shaka makala zao ni vijembe lakini wakirushiwa wao ni shutuma. tuwe wa kweli Bajeti kivuli imejaa...
  3. R

    Kinana anapoisujudia Bendera ya CHADEMA hadharani

    hivi huyu ni kinana au picha imeekosewa!!!
  4. R

    Serikali na mkakati wa kuvinyamazisha vyombo vya habari

    Waandishi wetu wamekengeuka siku hizi hawana maadili ya kazi zao wamekua wakinunuliwa na wanasiasa , wanharakati kwa manufaa binafsi na sasa wasahau hata zile basic za uandishi wa habari( 5W&H) wamekua wahandiasi badala ya waandishi wa habari, wamekua chanzo kikukubwa cha mmomonyoko wa maadili...
  5. R

    Waliosimamishwa UONGOZI na MBOWE, wahamia CCM

    Hawa unawaita virusi ndo waliokua kikijaza mikutano yenu!!
  6. R

    slaa kutogombea tena?

    Nimapema sana kufanya kusema lakin jinsi upepo unavyokwenda ninaona hatakua na ubavu hata mbawa za kuruka kusema sio kutenda na kutenda kunahitaji mipango ambayo CDM kwa sasa hatuna
  7. R

    PICHA:Dr Slaa alivyomnadi mgombea wa CHADEMA kata ya Mwawaza-Shinyanga

    karibuni uongo wenu utajulikana!! mtaruka ruka,mtazurura nchi nzima, mtapania lakini ukweli ni kwamba nyie sio makini ila mnasema sana tu.
Back
Top Bottom