📢 TANGAZO MAALUM LA MASOMO YA SAYANSI NA HISABATI 📢
Naitwa Mwalimu Hashimu Asiki, mwalimu mbobevu na mwenye uzoefu katika kufundisha Physics na Mathematics kwa ngazi mbalimbali:
✅ Primary School
✅ O-Level (Form I – IV)
✅ A-Level (Form V – VI)
Ninafundisha kwa lugha mbili kulingana...