Recent content by reyla

  1. R

    Nyumba inauzwa Buyuni Chanika

    Nyumba iko kwenye lenta inauzwa buyuni chanika karibu na nyumba za pspf. Specification zake ni 4 bedrooms, 3 bathrooms, jiko, stoo, dinning na kiwanja 35*35.kwa mawasiliano piga 0654510452. Bei milioni 20.
  2. R

    Kiwanja na nyumba kinauzwa Chanika Buyuni

    Nauza kiwanja na nyumba ya vyumba vinne iko kwenye lenta. Iko chanika buyuni karibu na nyumba za pspf. Kiwanja size 35*35. Karibuni. Specification za nyumba ni 4 bedrooms, 3 bathrooms, big sitting room, dinning, kitchen, study room na space kubwa nje. Bei Maelewano.
  3. R

    HALI ya DR Slaa IKOJE?

    hujui usemalo.
  4. R

    Masoud Kipanya is wrong about SUA

    Tatizo watu hatupendi kuambiwa ukweli sasa wewe ina maana unaenda SUA kusoma BVM ili ufanye kazi bank? Sio kweli yaani hapo mtu unakosa kazi kwenye field yako ndio unafanya chochote.Masoud alikuwa na maana nzuri tu.
Back
Top Bottom