Kama ni bado anajifunza aache kujifanya kama anajua kila kitu, Magufuli ni mtaalamu wa 'science' sio 'Law' ache kujitia kimbele mbele na ku act kama ana elimu ya uwana sheria. Afuate utaratibu wa sheria na utawala bora sio maguvu na mabavu hayatamfikisha popote shenzi huyu.
Wanyonge gani anaowatetea, au anachagua tu wa kutetea, kama ni mwanamme kweli au anapenda haki asingeshusha majeshi kwenda kuhujumu watu wasio na hatia Zanzibar. hiyo kujionesha kwake kama ni mtu anaepigania haki za wanyonge atawadanganya wazembe wasiolewa. Angesimami haki Zanzibar tungejua ni...
Kama hamna faida yeyote si waiachie? yani shida tupu wa Tanganyika wametukaa kifuani hata kupumua hatuwezi, kweli hawafaidiki kabisaaa na watuachilie nchi yetu jamani tumechoka kutawaliwa.
Uliona matusi haya tu ? Hujaona alioandika
Sijawahi kutukana, lakini mtu akinitukana nitajibu tu. Kila mtu aweke heshima. anaetaka kuheshimiwa ni lazima ajiheshimu kwanza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.