Recent content by Rex kapula

  1. Rex kapula

    JamiiForums Tanzania Ajira za Utumishi (Ajira Portal)

    Habari wanajukwaa, Mimi ni kijana niliyeomba ajira utumishi kupitia Dirisha la ajira za utumishi (Ajira portal). Mpaka sijajua ni lini watatoa short list yao. Lakini cha kushangaza kuingia kwenye wavuti ya taasisi niliyoomba (MoCu) nimeona majina ya watu kuitwa kwenye interview. Na ukiangalia...
  2. Rex kapula

    JamiiForums Tanzania Utambulisho tu!

    Hello to everyone!!
  3. Rex kapula

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiona ujumbe huu kwa Mwanamke, bora ujifanye mtandao unasumbua

    Hakuna msg ngumu kujibu kama hiyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa sababu kuna majibu matatu; 1. Kublockiwa usipo tuma 2. Kutukanwa 3. Kufanikisha kama ukituma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  4. Rex kapula

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za ualimu Kaizirege Bukoba

    Nilijiuliza zaidi ya mara juu hili tangazo, ila nikajijibu mwenyewe kwamba acha watu waende!!
Back
Top Bottom