Achana na huo uganga, mrudie Mungu atakusamehe na kukutakasa kabisa. Kama unamaanisha soma maandiko haya yatakusaidia Isaya 43:25, Zaburi 103:12, Warumi 10:9-10, 2Kor5:17, Isaya 1:18-19, Matayo 1:21
Ndugu achana na huyu mke wa mtu. Hata kama hajatambulishwa si mke wako. Muombe Mungu akupe mke wako ambaye ni mwaminifu na mtiifu ambaye mtakuwa pmj mpaka kifo kiwatenganishe. Mungu akubariki.
Ndugu yangu pole sana. Suala la ndoa ni la watu wawili yaani mke na mume wa tatu ni Mungu. Watumishi wa Mungu sisi kazi yetu ni kufungisha (officiate) na hayo mamlaka tumepewa na Mungu na Serilali Jamhuri ya Muungana wa Tanzania. Sasa suala la kuona mke sahihi au si sahihi si kazi ya mchungaji...
Kila dhehebu lina utaratibu wake ambao hautaathiri shughuli za uchaguzi. Kwa ushauri wangu ni kila dhehebu liangalie utaratibu mzuri ambao hautawanyima watanzania haki yao ya kikatiba. Ni suala la ndani zaidi. Pia suala la kuombea uchaguzi halitakiwi kuwa la siku bali hili tumeanza kuliombea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.