Recent content by Reuters

  1. R

    Magufuli apiga STOP Safari za nje ya Nchi; Elimu Bure kuanza Januari 2016...

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli leo asubuhi katika Ikulu ya Dar es Salaam amefanya kikao na Makatibu wakuu, Manaibu Makatibu wakuu, Gavana wa Benki Kuu Prof. Benno Ndulu na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ili...
  2. R

    Lowassa avaa pete ya Freemason, hii sio ishara njema kwa Tanzania

    Hakiya Mungu mmeshavurugwa nyie sio bure
  3. R

    Lowassa avaa pete ya Freemason, hii sio ishara njema kwa Tanzania

    IJUE SIRI YA PETE ALIYOVAA MGOMBEA HUYU: Mgombea wa Ukawa amevaa pete ya Freemason lengo la Pete hyo ni ili kuwapumbaza wananchi wampende bila kutaka bali wanajikuta wanampenda tu. Pete hyo niya nguvu za giza na masharti aliyopewa nikutoa kafara ya damu za watu. Pete hyo humfanya mtu kuwa...
  4. R

    Familia ya CDF Mwamunyange: Yupo nje ya nchi kwa majukumu ya Kitaifa

    Mwamunyange huyu hapa anapokea Mwenge toka mikononi mwa Rais JK Dodoma leo hii semeni jingine
  5. R

    Maswali magumu ambayo CHADEMA hawawezi wakayajibu

    1. Kama kingunge ana kadi namba nane ya ccm,je dr.slaa ana kadi namba ngapi ya chadema? 2. Kama kingunge ana kadi namba nane ya ccm,je lowassa ana kadi namba ngapi ya chadema 3. Kama Dr. Slaa amenunuliwa na CCM, je Kingunge mmemnunua sh. ngapi? 4. Kama CHADEMA mfumo wenu ni mzuri kwanini...
  6. R

    Kutoka Dodoma: Sherehe za Kilele cha mbio za Mwenge, Rais Kikwete ahutubia

    TUMUENZI NYERERE KWA KUMKATAA KIONGOZI ALIYEKATALIWA NA NYERERE ASIWE RAIS. ..ASEMA DR. JK HUKO DODOMA Dr. Kikwete amesema tutakua hat unamended haki Mwal. Nyerere endapo tut a fan ya makosa tukamchagua yule aliyemkataa asiwe Rais wa nchi hii
  7. R

  8. R

    Kutoka Dodoma: Sherehe za Kilele cha mbio za Mwenge, Rais Kikwete ahutubia

    sio kupanic ndio sheria ilivyo na hata tume pia wametangaza hilo
  9. R

    Kutoka Dodoma: Sherehe za Kilele cha mbio za Mwenge, Rais Kikwete ahutubia

    JK. ASEMA UKIMALIZA KUPIGA KURA NENDA NYUMBANI WAACHIE MAWAKALA Kutoka Dodoma Dr. JK. Asema ukimaliza kupiga kura nenda nyumbani ukikaidi utashughulikiwa ni Kwa mujibu wa sheria. usiilazimishe serikali ifanye yale yasiyopasa Kwa kuisimamia sheria
  10. R

    Mbatia hatihati Vunjo

    Mbatia haambulii chochote Vunjo watampiga chini na yeye Mbatia analijua hilo na sasa anajipanga kuchukua nafasi ya Dr. Slaa Chadema
  11. R

    Kuanzishwa Chuo Kikuu Butiama ni siasa

    acha kujilisha upepo na kukalilishwa maneno kama hujui historia ya Chuo cha Udom source idea ni nani kaa kimya
  12. R

    Balozi Juma Mwapachu na ubinafsishaji wa mashirika ya umma!

    Ndege wanaofanana wanaruka pamoja. Mafisadi kwa Mafisadi lazima wafuatane na kuwa pamoja Mwapachu kwa wafuatane Wachafu wenzie
  13. R

    Watu wa kuitikisa kuondoka CCM sio akina Mwapachu

    Kabisa hata mimi naunga mkono kweli angeondoka Mkapa, au Mangula hata mimi homa lingenipanda ila kuondoka kwa Kingunge na mwapachu nisawa na hakuna kilichotokea waende tu
  14. R

    GE2015 Huyu ndiye Waziri Mkuu wa Magufuli

    Rais Makini na Waziri mkuu makini
Back
Top Bottom