Recent content by Reucherau

  1. R

    JamiiForums Tanzania Polepole anamshangaa Nyalandu kuondoka CCM inayofuata itikadi ya Ujamaa purely na kujiunga chama kisicho na itikadi

    Kuna vijitu vijinga dunia! Kidudu kimeingia CCM juzi tu basi kimekuwa kinajifanya chenyewe ndo kilakitu CCM
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Yaliyojiri katika ziara ya Rais Magufuli uzinduzi wa daraja la Furahisha na viwanda 3! 30 - 31 Oktoba 2017

    Hayo yamesemwa leo na mkuu wa nchi akiwa Mwanza. Hivyo wale waliokuwa wakisubiria imekula kwao
  3. R

    JamiiForums Tanzania Desemba 25: Je, ni siku aliyozaliwa Yesu au twaadhimisha tu kumbukumbu?

    Biblical Evidence Shows Jesus Christ Wasn't Born on Dec. 25 Posted on Dec 3, 2004 by Good News 62 comments Estimated reading time: 3 minutes Is it even possible that December 25 could be the day of Christ's birth? biblical-evidence-shows-jesus-christ-wasnt-born-on-dec-25.jpg Photos.com...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaisrael hadi leo sio wakristo, na bado wanaitwa taifa teule la Mungu?

    HILI SWALI GUMU SANA KWA WAKRISTO WAFUASI BILA TAFAKARI
  5. R

  6. R

    Kwahiyo Israel ya sasa sio taifa teule kama walivyokuwa wa vitabuni kama tunavoaminishwa na wachungaji kila siku
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaisrael hadi leo sio wakristo, na bado wanaitwa taifa teule la Mungu?

    ni kweli maana haiingiia akilini! Mungu gani huyo wa kumkana bado uendelee kuitwa mteule tu!
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaisrael hadi leo sio wakristo, na bado wanaitwa taifa teule la Mungu?

    wayahudi hawamkubali yesu kama ni mesiah na mwokozi wao!? kumbe unaweza kumkataa YESU still ukawa mteule wa Mungu?
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaisrael hadi leo sio wakristo, na bado wanaitwa taifa teule la Mungu?

    kwanini wao hawautaki ukristo? tatizo nini? na huu uteule permanent umetoka wapi?
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaisrael hadi leo sio wakristo, na bado wanaitwa taifa teule la Mungu?

    karibuni kwa majadiliano
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaisrael hadi leo sio wakristo, na bado wanaitwa taifa teule la Mungu?

    Huwa najiuliza uteule wa wayahudi! Kumbe huhitaji kuwa mkristo ili uwe mteule AU JE MUNGU NI WA UPENDELEO, watu wengine wakimuasi wanaitwa wadhambi, wengine wakiasi wanaitwa wateule?
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ujasiri wa CHADEMA ile ya Enzi ya JK umepotelea wapi? mbona wananyanyaswa sana

    inauma sana upinzani kufutika nchini
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ujasiri wa CHADEMA ile ya Enzi ya JK umepotelea wapi? mbona wananyanyaswa sana

    wasubiri kupotea kwenye ramani ya siasa, kama ilivyokuwa NCCR NA CUF
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ujasiri wa CHADEMA ile ya Enzi ya JK umepotelea wapi? mbona wananyanyaswa sana

    povu la nini, kwani sio kweli kuwa chama kimekuwa cha makondoo
Back
Top Bottom