Recent content by Reuben Bukuru

  1. Reuben Bukuru

    SoC01 Matajiri hawaweki akiba ya fedha

    Sawa nikipata ugum wowote ntakurudia tena
  2. Reuben Bukuru

    SoC01 Matajiri hawaweki akiba ya fedha

    Ouky nineona kuna App ya UTT sijui naweza itumia hio kufungua huo mfuko
  3. Reuben Bukuru

    SoC01 Matajiri hawaweki akiba ya fedha

    Na je ukisha fungua account ya Liquid hio...unakuwa una weka kidogo kidogo au unaweka mara moja kama Fixed account vile
  4. Reuben Bukuru

    SoC01 Matajiri hawaweki akiba ya fedha

    Asante ngoja nifuatilie zaidi
  5. Reuben Bukuru

    SoC01 Matajiri hawaweki akiba ya fedha

    Ouky mfuko mzuri wa UTT amis ni mzuri maana iko mingi kweli
  6. Reuben Bukuru

    SoC01 Matajiri hawaweki akiba ya fedha

    Lakini pia nina Swali....vipi sasa kwa yule ambae huna mda wa kufanya Biashara mfano Mwanafunzi wa Chuo na hana pesa ya Kutosha kununua kitu ambacho kinaweza mtengenezea Cashflow.... Unamshauri nini?
  7. Reuben Bukuru

    SoC01 Matajiri hawaweki akiba ya fedha

    Shule Toyasha ya Robert Kiyosaki
Back
Top Bottom