swala la mkopo kuwahi au kuchelewa linatoka na uwahishwaji wa mkopo wako kutoka
chuo ulichopangiwa kurudi HESLB, ufatiliaji wa chuo na bahati pia ya mtu binafis
Msaada kwa anae jua bum linatoka lini kwa waliofanya transfer """allocation ilishatoka tangia mwaka jana mwezi wa 11 kabla first year hawajapata bum la kwanza ila mpaka saiv wamepata la pili huku transfer hata la kwanza bado"
ww mchapafito cjawah kuona umemjbu mtu kistaarabu ''nawasi wasi xana na IQ yako"" mm nmeuliza mtu anaweza kwnda kurpot alipohamishiwa au bado knautaratbu mwngne""" labda ww ulitaka niulze vp? au hum ndan cku hiz mtu huruhusiw kuuliza?????
Jaman kwa ambao tmepata transfer na tulikuwa hatujafanya registration kweny vyuo vya mwanzo baada ya kulipa transfer fees yao kwa usahihi hiv tunaenda moja kwa moja kwenye vyuo tulivyo hamishiwa kufanya usajili au kuna utaratbu mwingine unafata?? Mwenye uelewa atujuze
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.