Recent content by Retrogressive

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

    Hakuna chochote cha maana kilichojadiliwa hapa, uzi mrefu kilichojadiliwa eti mtoto kupata div 4. Kwani yeye ndiyo wa kwanza au hao wengine ndio wa kwanza. Acheni mambo hayo nchi ina mambo mengi ya kujadili. Siyo maswala ya kilaza au Div 4. Kwani wate waliofanikiwa katika maisha wana Div 1....?
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

    Nimegudua Hakuna mtu hata mmoja mwenye source ya uhakika. kila mtu anakurupuka kinyake. Sheria ya mtandao ikisimamiwa vizuri nauhakika humu ndani tunaki wachache. Haingii akiri mtu anasema hivi harafu huna fact. Bora ukae kimya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    Sema ninayemhitaji siyo tunayemhitaji.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    Tayari ameshakubalika si unaona tunamjadili.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    # Hapa Kazi Tu#
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    Usiwasemee watanzania. Sema wewe binafsi. Maana mpaka muda huu kuna watanzania wengi wameshamwamini (CCM) na wanajua ndiye Rais wao
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    Acha kupotosha umma. Alisema nyakati kama hizi kuna mambo mengi, kuna maigizo mengi hasa baadhi ya watu wamesomea. Kuna kosa gani hapo......? si watu wanasomea.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    Watanzania wanajua. Wanataka mtu wa namna gani? na wala si chama. Magufuli anakumbalika katika utendaji
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    Swala la samaki unatakiwa kutafakari vizuri. Askari wa Tanzania wakishirikiana na wa africa kusini wailikamata ile meli. Sasa naomba nikuulize kitu tangu lini askari wanasema uongo?, Hivi hata hao wa africa kusini wenye mitambo na uzoefu mkubwa waweza kuwa mbumbu wa mipaka nchi?. Kwanini...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    Acha uongo sisi watu wa kigamboni tunamhitaji sana Dr. Magufuli, tunajua atatutatulia shida zetu nyingi. Acha kabisa kutusemea
  11. R

    JamiiForums Tanzania CUF: Taarifa kwa waandishi wa Habari juu ya Kujiuzulu Mwenyekiti Prof. Lipumba

    Tatizo ni Chadema wanataka kuhodhi madaraka yote. Prof kashituka dakika za mwisho. Chezea chadema wewe.......
  12. R

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Magufuli Arusha

    Huu ni uongo ulio kithiri. Tafakari upya....
  13. R

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Magufuli Arusha

    Tuacheni siasa jamani. Walikuwa pamoja na makamu wa rais kwa ajili ya shughuli za kitaifa
  14. R

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Magufuli Arusha

    Wewe kulikuwa na makamu wa rais.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Magufuli yupo Arusha kikazi

    Safi sanaaaaaaaaaaaaa jamaa yuko kikazi zaidiiiiiiiiii
Back
Top Bottom