Recent content by RESCUE TANZANIA

  1. R

    Lissu ni mwanasiasa wa kwanza wa upinzani kuandika historia ya kuzomewa UDSM Nkurumah hall

    mbona hoja ni lissu tu? Nina mashaka na upeo wa kufikiri wa mtoa mada...hilo tu ndo uloliona? Mbona huzungumzi ya lukuvi na wassira? Think big bwana sio unakurupuka na kuropoka ya usingizini
  2. R

    Walimu wapya Sengerema, Njombe na Kongwa hawajapewa pesa ya kujikimu mpaka sasa

    kweli hawanazo! Wameng'ang'ania mbili mbili 3 ndo mpango mzima
  3. R

    Walimu wapya Sengerema, Njombe na Kongwa hawajapewa pesa ya kujikimu mpaka sasa

    Licha ya mkuu kuongeza siku za kukaa bungen kwa wabunge wa katiba ikimaanisha kuongezeka kwa laki 3 kwa siku 60 zilizoongezwa kwa upande mwingine imewasahau walimu wapya, kwa kutokuwapa pesa taslimu ya kujikimu. Kwa mujibu wa taarifa sahihi, walimu hao wamekuwa wakihaha hata kujaribu kutafuta...
  4. R

    Wilaya ambazo hazijawamalizia pesa za kujikimu walimu wapya mnawatesa kuweni na ubinadamu

    mind u something wacje wakakuandikisha barua wakutafutie chance ya kukutafutia makosa
  5. R

    Wilaya ambazo hazijawamalizia pesa za kujikimu walimu wapya mnawatesa kuweni na ubinadamu

    yaan ualimu unaharibiwa n wa2 flan walio ktk nafac! Inakera xana! Yaan ukiangalia pexa waliyotoa n xawa na naul tuliyo2mia mpaka vi2on what iz the implication?
  6. R

    Wilaya ambazo hazijawamalizia pesa za kujikimu walimu wapya mnawatesa kuweni na ubinadamu

    Dah! Pole mkuu njombe wamewapa kiac gan##? Na wanaxemaje kias iliyobak interms of majority? yaan xehem nyingne mbona wamepewa pesa kamili!
  7. R

    Wilaya ambazo hazijawamalizia pesa za kujikimu walimu wapya mnawatesa kuweni na ubinadamu

    nasikitika kwamba baadhi ya wilaya hazijawapa walimu pesa ya kutosha za kujikimu walimu wapya licha ya kuwapeleka vijijin kusikokuwa na huduma za mhimu. Je wanaanzaje maisha walimu hawa kwa pesa kidogo za siku tatu au nne wakat wanatakiwa kupewa pesa ya siku 7? Je mtu anaweza kuanza maisha kwa...
  8. R

    Vyuo kwa waliomaliza form four

    Wadau naomba tushirikiane kutoa adress za vyuo wanavyoweza kuapply form four kulingana na perfomance zao plz take it serious na ikiwezekana andika na course offered na pia dadavua kama wanatoa kwa level ya certificate au dip na ammount of fees kama utapenda
  9. R

    Shina la CCM Maryland lafunguliwa, Mrisho Mzese mwenyekiti

    wanasubiri baba zao wafariki waje warith majimbo na ubunge wa baba zao kabla ya kuanua matanga ili walete sera za ndoa za jinsia moja kwenye nchin kwetu
  10. R

    Vyeo na ubunge wa upendeleo, CHADEMA kama CCM; Tutemeni mate chini

    eti miraji nae anataka kugombea si chenga la macio tena hl? CDM simamishen mtu makin sio kwa ushabk
  11. R

    Vyeo na ubunge wa upendeleo, CHADEMA kama CCM; Tutemeni mate chini

    watanzania tuseme basi inatosha kwa hizi tawala za kifalme zinazorithishana madaraka..! Nazungumza nkitafakar yaliyotokea arumeru, kalenga na sasa chalinze..wala tusije tukasahau kwamba wazee wao ndio waliotufikisha hapa tulipo..na mtoto wa nyoka ni nyoka wala hafundishwi kuuma, kila siku malori...
  12. R

    Njia za asili za kukuza uume

    Wapendwa salam kwenu..nimejaribu kupitia mitandaoni na nimegundua maumbile ya mwanaume hutakiwa kuwa inch 6 kwa wastan bt i'm below that..naomba kujua njia za asili za kumkuza mdudu pasipo na madhara kiafya
Back
Top Bottom