Recent content by Reowned

  1. Reowned

    Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Huna akili! Unataka vitu vya kukufurahisha wakati uhalisia Iran anateseka!!! Atakufurahisha mama yako pimbi ww.
  2. Reowned

    Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Endelea kujifurahisha ww zezeta!! Akili zako kuhusu vita ni sifuri! Iran yupo kwenye siku zake za mwisho!
  3. Reowned

    Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Akili hizo ww!! Vita ni gharama! allies wapo ili ushirikiano uwepo!!! Iran kabla ya vita uchumi ulikuwa Hoi! Sasa sikilizia baada ya hii vita Watakuwa wamerudi miaka 50 nyuma.
  4. Reowned

    Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Pro-Iran ni watu wajinga sana! So far sioni kitu cha maana Iran wameachive! Zaidi ya kubomoa vijengo hapo Middle East na sehemu za Israel!! Kwao viongozi wanateketea kila siku,kambi za kijeshi kwisha habari yake,navy kwisha habar yake,viwanja vya ndege kwisha habar,refinery muhimu kwisha...
  5. Reowned

    Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Iran kwisha habari! Anaruka ruka kama kichaa. Na kuhusu makombora ya masafa ya Kati yaan 3000_4500 km anayo na hilo linajulikana! Nashangaa kuna makobaz majinga hapa yanaleta unafik kuwa hayo makombora yametengenezwa hv karibuni!!!!! Yapo ila hayafiki 15.
  6. Reowned

    Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Sijui kama pro-iran wapo sawa kichwan???!! Hii vita alishindwa Iran since day one anachofanya saiv nikujitetea.
  7. Reowned

    Pakistan waliwezaje kutengeneza na kumiliki silaha za nuclear bila kuingiliwa na Marekani?

    Ilikuwa Timing tu! Kulikuwa na Waziri Mkuu mtata kweli kweli hapo Pakistan! Nitalielezea hili siku nyingine.
  8. Reowned

    Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Huna kitu kichwan! Na choko ni baba yako! Kilaza mkubwa udini wa kipumbavu ndo umetanguliza kichwan.
  9. Reowned

    Je Unajua ni kwanini Israel Hawasumbuki Kumuwinda na Kumuua Masoud Pezeshkian, Rais wa Iran?

    Kifo cha Ibrahim Rais na Waziri wake hakikuwahi kudhibitishwa na Israel.! Taarifa iliyopo ni kwamba kilitokana na ajali.
  10. Reowned

    Je Unajua ni kwanini Israel Hawasumbuki Kumuwinda na Kumuua Masoud Pezeshkian, Rais wa Iran?

    Kikanuni huyu ana-diplomatic immunity!! Kama wataamua kumuua basi amini atakuwa kiongozi wa mwisho kabisa.
  11. Reowned

    Senegal wapokwa ubingwa wa AFCON 2025 na CAF, apewa Morocco

    Wonders shall never end! This won't age well.
  12. Reowned

    Iran yafanya Operesheni ya kijasusi ndani ya Israel na kumuua waziri

    Taahira mwingine huyu! Inamaana Netanyahu humuoni?
Back
Top Bottom