Recent content by Renzo

  1. R

    Karaha za star times

    :israel:Jamani Leo nimeamua kufunguka kwenu pengine mtaweza kunisaidia! Tatizo langu ni huu wizi na ubabaishaji unaofanywa na Star Times Kama ifuatavyo: Bei inapanda asubuhi,mchana na jioni! Ilianza miaka 2 tu iliyopita ikiwa shs 9000, tukaona ni ukombozi wa mtanzania Kama Mimi nisiyeweza...
  2. R

    Ngono maofisini

    Yale yale... unatukana wanawake wenzako! Kwa nini unakuwa mwepesi kihivyo kuelekeza kosa upande mmoja? umeshaambiwa 'walikuwa wakingonoka' chooni - sasa kwa nini mwenye kosa ni mwanamke peke yake? Tuweni fair jamani, acha chuki binafsi!
Back
Top Bottom