Nilibakwa nikiwa na
Umri wa Miaka 9" -
Oprah Winfrey
"Sikumaliza hata
Elimu yangu ya
Chuo" - Bill Gates
"Kwenye Maisha ya
Utotoni, Nilidhurumu
Viatu" Abraham
Lincoln
"Nilipata sana shida
katika kipindi chote
nilichokuwa Shule" -
Dr Ben Carson
"Nilikuwa nauza Chai
Dukani...
Hii haina kuficha, kwa huu wa sasa, Kipindi cha SuperMix, kikisimamiwa na Zembwela kimekuwa msaada mkubwa kwa Jamii, kutokana kile kinachowasilishwa. Nazidi kuamini akili hii ya Zembwela ingekuwepo kwenye moja ya viti katika Bunge la Katiba, kuna hatua tungepiga.
Piga kazi mkubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.