Recent content by renjeta

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi ampigia kura Daimond

    Hah hah hah aya bwana Eva...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi ampigia kura Daimond

    Bado sijaona kosa la diamond kabsa nazani watu mnajaribu kutafuta sababu ambazo hazina mashiko kumkandamiza mambo ya mahusiano ni uwamuzi wa MTU na ana Haki ya kumpenda yoyote kwan uyo wema yeye ana nini asiachwe jamani? Tumchukie MTU kwa vigezo maalumu ila siyo ivo kwan wema hajawah...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kweli nimeamini uzuri wa mwanamke sio urembo, sio sura na pia sio tabia

    Hah hah hah wanaume bwana ni viumbe ambao mungu amewapa upekee wenu... mkipata papuchi nzur lazima tu kuna kikwazo kingine kitakuja ila lakin ndo mambo yanayofanya maisha yaende ngoja tuchukue darasa apo
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kweli nimeamini uzuri wa mwanamke sio urembo, sio sura na pia sio tabia

    Lool!kwakwel Dada nakupenda bure kama kuna kitu unanifurahisha ni uwezo wako wa kuanalyse vitu embu mungu azidi kukupa afya njema wengine tufurahi kwakwel
  5. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini siku ya kwanza kufanya ngono?

    Mmmmh kwakwel nimefurah na hizi historia za watu
  6. R

    JamiiForums Tanzania Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

    Ni ukosefu wa akili kabisa eti mnamchukia MTU kisa alimuacha x wake kwel hiz ni akili au matope?uyo wema au jokate ni nan?na wana nini?mbona wanaume wengine waliwaacha pia..na ni aibu kuona msomi au MTU anaejielewa anakosa uwezo wa kujitegemea na kushikuriwa mawazo et na wema sepetu.hii ni...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

    Sina team ila kwa point hii huu ukosefu wa kufikuria vizuri maana huwezi sema MTU asipigiwe kura kisa kawaita x zake makombo na wao je walimuita nan?alaf mambo ya mahusiano bwana waachie wenyewe alaf siyo kila uhusiano Lazima uishie kwenye ndoa. we umeacha au umeacha wangap? Uyo mganda ndo...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

    Mmmmh kiba again hapana kwakwel
  9. R

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

    Hata mimi nimeona ni uonevu kwakweli
  10. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama bado hujaoa au kuolewa hebu pitia hapa kuna kitu utajifunza

    Duuuh nimependa ujembe kuanza moja si ujinga ....hii kwel kabisa
Back
Top Bottom