Recent content by Renguo

  1. R

    Uamsho waanza harakati zao upya huko Zanzibar

    Wazo binafsi. Tukitaka kuondoa tatizo la Muungano tutahitaji kwa dhati kutekeleza yafuatayo:1) Kila Mzanzibar Mwanaume ambaye hajaoa ajitahidi kuoa Mtanzania Bara na Kila Mtanzania Bara aoe Mzanzibar. Vilevile kila mmoja ajitahidi kuondoa suala la udini kwa kubatiza au kusilimisha. Taqbir, Taqbir
  2. R

  3. R

    Uamsho waanza harakati zao upya huko Zanzibar

    Je, endapo Muungano utavunjika, Sisi Wazanzibar tuliopo bara au Wabara waliopo Zanzibar hatima yetu itakuwaje?? Tutapata wapi Umeme, Mkaa, Nyama, Mchele nk?
  4. R

    Uamsho waanza harakati zao upya huko Zanzibar

    Ili kutatua tatizo ni lazima vyombo husika vikae na kuwasilikiliza Kundi la Uamsho. Muungano ni kitu kizuri endapo pande zote zinazohusika zinakubaliana kwa dhati lakini kama kuna aina yoyote ya kutoelewana kwa namna yoyote ile, Muungano una weza kuwa chanzo cha kutoelewana. Mfano kama...
  5. R

    Mchumba 'angu amemegwa halafu ka confess

    Hata hivyo, bado nakushangaa! Ulipoanza naye urafiki ulimkuta na bikra? Kama hukuikuta ulimuuliza nani aliyeitoa? Utajuaje aliyeitoa ndiyo mmoja kati ya aliyekueleza! kuwa mpole KAka!
  6. R

    Mchumba 'angu amemegwa halafu ka confess

    Jifikiria wewe katika kipindi hicho uliwamega wangapi? Kama ulimmega hata mmoja, basi lazima usamehe lakini kama hukumega yeyote, fanya taratibu za kumuacha, hafai huyo! Nimeeleza hivyo, kwa kuwa nahisi mara nyingi mtoto anapobebwa huelekea kisogo cha mama yake. Hii ina maana yeye aliona tabia...
Back
Top Bottom