Swala si lowasa bari hata jk tulikosea sana hata dunia inajua maana uelewa wa sisi wa tz ni finyu na ndio maana tulimpa kura nyingi na inawezekana lowasa alishinda kweli ila kwa wenye maono na uelewa walijua wazi tuta rudi kwa jk kuwa na inchi mzigo yenye kila aina ya uozp kwa mimi nasema...
Kwa hapo rais wangu ajira tulio kupa mbona ni ngumu sana bora kujifundishia wanafunzu kuliko mzigo mzito tulio kutwisha.yaani hii minya ngumi cjui kama utaiweza kuna sehemu ykufuatilia utakutana na jk live bila chenga
Komaeni na hpo kwenye uhai wa inchi maaana huku mtaani huwa mnatesa sana walipa kodi wadogowadogo.
Yaani mkifanikisha kudhibit hpo basi mambo tz yatakuwa kma rwanda
Huyu mtu ulikuwa ni mpango wa Mungu kulikomboa taifa letu,hii mijizi imefilisi taifa huku walala hoi wakiteseka na wengine wakipoteza maisha kwa kukosa panado.
Kwa spidi hii anaweza funika hata uongozi wa nyerere tunakuombea mr.pombe Mungu akupe ujasiri na moyo wa huruma kwa sisi vidudu mtu...
Hiyo landcruiser mkonge mbona sijaiona jimbon kwangu kumbe mnapewa pesa za kununulia landcruiser mkonge ninyi mnanunua v8 linalo bugia mafuta kama lori sasa mimi naona raisi apige stop haya ma v8 yote kwa watumishi wote tanzania thn agawe gari za hii aina ya mkonge kidogo inavumilia na gharama...
Yote kumi mimi nitakukubari zaidi nikiona umeweka limwenge linalo changia maambukizi makubwa ya ukimwi ukiliweka parking pale makumbusho yaani huwa hainiingii akilini kabisa eti sisi walala hoi mtuchangishe hela za mwenge thn unakuja una lala kijijin kazi zote zina simama jion mkesha wa disco...
Tatizo la polisi wao hutekeleza maagizp hata kma alie toa agizo ni zero brain kazi la tunayo na hili jeshi letu,
Wanatumia nguvu nyingi huku mambo ya na ya muhimu ya kilala.
Hapo mr.pombe unakazi kubwa ya kubadilisha hii mifumo ya viongozi wetu.
Inawezekana hawajakabidhiwa hela za mafuta za kuanzia maana nasikia mzee kafagia kihenge chote sasa bwana pombe anajukumu zito wapi pakuanzia.
So kuwadikiliza nadhani kafanya jambo la muhimu.Mungu awatangulie ktk kufunua uozo wote wa pale bandarini naingekuwa inaewezekana mjaze mamiruki wengi...
Mungu akujaze ujasiri na wala usiyumbishwe na mbulura yetote hakika wew ni mwana Mungu na ushindi wako ulikuwa ni mpango wake maana kasikia kilio chetu.
Plz mr.president kama inawekana zifute zote mpaka hapo uchumi wa taifa letu utakapo kuwa umetengemaa.
Haiingii akilini tunasherekea huku...
Ninacho muomba rais wangu afuatilie kama mkopo unaotolewa ni wa landcruiser hard top kwa nini wengi wao wana vx v8 ambayo ni magari ya gharama kubwa na nighari kuyatunza.yaani hii vx gharama ya matunzo kwa mwaka inazidi y manunuzi kma kweli ni hardtop apendekeza wapewe ila kwa ambaye atakuwa na...
Nampongeza Dr kwa hotuba nzuri iliogusa karibu kila kona na wengi tumeielewa nimefurah kauli yake ya kusema 'NASEMA KWELI'
Namwamin raisi wangu kuwa anaweza kutufikisha mahala ingawa nasikitika kuwa hajafuta haya mashangingi yanayo ligharimu taifa fedha nyingi.
Plz mr.president tusaidie hii...
Nampongeza Dr kwa hotuba nzuri iliogusa karibu kila kona na wengi tumeielewa nimefurah kauli yake ya kusema 'NASEMA KWELI'
Namwamin raisi wangu kuwa anaweza kutufikisha mahala ingawa nasikitika kuwa hajafuta haya mashangingi yanayo ligharimu taifa fedha nyingi.
Plz mr.president tusaidie hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.