Mgosi hiyo bei ni sahihi kwani ni pamoja na cha juu! Unataka nyumba ya atakayekiagiza aimalizie na nini?Lakini kubwa ni hotuba katika kipindi ambacho kuna jambo ambalo tangu tupate uhuru halijawahi kutokea, yaani mgomo wa waaalimu. Mimi nilitegemea wasaidizi wake kwenye hotuba wange-focus kwenye...
Nawashauri madaktari mliopanga kuandamana msifanye hivyo. Wanaweza kupewa wahuni tu fedha na mtu yeyote au chombo chochote wakawavurumishia mawe na hata vinyesi ili mradi tu maandamano yenu yaingie doa kwa nia ya kuonyesha kuwa wananchi wana hasira dhidi ya mgomo wenu. Jaribuni kutafakari kwa...
Laana ya Baba wa Taifa kuhusu dhambi ya ubaguzi imeanza kuwatafuna! Tukumbuke wosia wa Baba wa Taifa kuhusu ubaguzi (ondoa na kubadilisha maneno Watanganyika na Wazinzibari kwa ccm na cdm). "Mtakapowabugua tena kwa sababu za ulevi tu, kwamba wao cdm, sisi ccm, hii dhambi itawatafuna tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.