Recent content by Relapse

  1. R

    Utafiti Binafsi: Tatizo la wanaume wengi 'kuchapiwa' wake/mademu zao hujitakia wenyewe na msilaumu mtu

    You can’t give both good d*ck and an extremely good life. She has to choose one. 1: Good d*ck no life. 2: Good life no good d*ck
  2. R

    Mke wangu kanisave "Mbwa" kwenye simu yake

    Hii story inafanana na scam mwanamke anajua alivoku save definitely. Kwa akili hata za darasa la saba asingeweza kubaki na simu yako iliyoipigia simu yake akuache wewe ukaone upande wa pili a registered missed call from MBWA… it just doesn’t add up. Either huu ni uwongo wote au hujasema ukweli wote
  3. R

    Nifanyeje niolewe na mwanaume wa Arusha ambaye ni Muislam?

    Hamia Arusha onesha ufanisi wako kama mwanamke wa kiislamu na vigezo vyote hakika atakuona na mambo yatakuwa kheri.
  4. R

    Ni sahihi kujifanya mjinga ili kulinda mahusiano yako wakati huo huo unaumia moyoni

    “Samaki mkunje angali mbichi “ Ukiona kosa kemea kwa nguvu zote usikubali uonekane muelewa wa kila kitu muda mwingine kataaa kuelewa katu katu.... watakuchukulia poa wakufanyie makubwa mabaaya waje wajilize wakiamini uataelewaaaa ... “Every man should have and show where he stands and what he...
  5. R

    Kwa mara ya kwanza nimekuwa na mahusiano na wanaume wawili

    Ulafi sio chakula tuu hata hili jambo lako ni ulafi .. Maybe you feel good right now like you’re the best in the world but you won’t feel the same when one finds out ... Kuna broken hearts na broken trust and lots of shame iyo cold war unaotengeneza zima tu mwenyewe kimya kimya let one go it...
  6. R

    Amechaguliwa kwenda Chuo, napata wakati mgumu

    Just take your own choices man ! Maana kichwani kwako tayari una majibu yako unataka tu sisi tukusaidie kuya justify !! Fanya unachofikiri baadae usipate mtu wa kulaumu au kushukuru except yourself !! “ HUWEZI KUWA MWANAUME KAMA HUWEZI KUFANYA MAAMUZI MAGUMU “
  7. R

    Ni vyakula gani vinafaa kuliwa unapokuwa kwenye break up?

    Kula mziki Kula blue tick Kula upepo Kula story Na mambo mengine yanayoendana na hayoo ....
  8. R

    iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

    Nenda kwenye mobile data mkuu then washa data ya settings then mambo yatakuwa supper
Back
Top Bottom