Recent content by rejuehan

  1. rejuehan

    Hatupangiani maisha ila ni ushauri tu kuanza mwaka 2024

    Friji ni muhimu lakini kwa wakati wake! Baada ya kuona vitu vingine vimeenda kama ulivyokusudia.
  2. rejuehan

    Kabla ya kunyonya sehemu za siri za mpenzi wako jiulize maswali haya

    Mjanja M1 from USA upo sahihi kwa kila swali unalopenda wengi wajiulize ila nami niongeze wakati unafikiri hayo yote je hizo hisia bado zitakuwepo kutaka kufanya hicho kitu? [emoji850]
  3. rejuehan

    Hatupangiani maisha ila ni ushauri tu kuanza mwaka 2024

    Antonia! Wanaume baadhi kuna namna huu uzi unatugusa hasa wale walio na vision kubwa
  4. rejuehan

    Hatupangiani maisha ila ni ushauri tu kuanza mwaka 2024

    Ukiwaza Sana kufa unaweza kufiriska hadi kifikra ndg yangu! Kwa hiyo japokuwa kifo kipo ila ni muhimu kufanya mambo mengine ya muhimu
  5. rejuehan

    Hatupangiani maisha ila ni ushauri tu kuanza mwaka 2024

    Wapo ambao wanaweza kuyaishi hayo maisha tena urahisi na wapo ambao kwao ni changamoto ko anaweza kuuchukua kama ushauri ila tisa kumi maamuzi ya mhusika mwenyewe
  6. rejuehan

    Hatupangiani maisha ila ni ushauri tu kuanza mwaka 2024

    Kupumua lazima mkuu! Nimeona nianze kuyawaza ya 2024
  7. rejuehan

    Hatupangiani maisha ila ni ushauri tu kuanza mwaka 2024

    Niwaze kama kichaa Mshahara total kwa mwezi 350,000/- Chumba: 70,000×6=420,000/= Ndani kwake TV inch 50=750,000/- Show case =120,000/- Kitanda =300,000/- Godoro =250,000/- Jiko la Gas plate 2=140,000/- Mtungi wa Gas mkubwa =110,000/- Oven =160,000/- hadi 200,000/- Pressure COOKER =130,000/-...
Back
Top Bottom